Barafu:Tunatatafuta Raisi wa Tanazania Sio wa Bongo Movies

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mi naona wenzetu wameamua kuchukua majina ya movie zao ndio waje kutuchanganya nao eti mama ongea na mwanao mala nimestuka eti kibajaji si majina ya movie hayo acheni utani tunatafuta raisi Wa Tanzania sio Wa bongo movie acheni maigizo yenu ila watanzania wameshaamua team mabadiliko 2015
Barafu Suleiman @barafusuleiman on instagram
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zomeeni,semeni mnavyoweza ila 25/10/2015 mtanyamaza tu.
    CCM ndio yeneyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndotooo hizo kaka!!! ulaji unakwisha kakaaaa! ccm kwishnei!! LOWASAAA ndiyo habari ya Mjini!

      Delete
  2. Wa-TZ hatutaki Raisi wa 'kujinyea", HAPA KAZI TU...........

    ReplyDelete
    Replies
    1. ajinyee asijinyeee, mgonjwa c mgonjwaa!! habari ya mujini ni LOWASAA, tunajua nyie wenye ndugu kwenye system hampendi sikia hilo!! peoplesssss Poweerrrrrrrrr!!

      Delete
  3. Habari ndio hiyo mdau kunywa Soda nakuja kulipa hapa kazi tuuuu.

    ReplyDelete
  4. Lowasa ka mgabe atupisheee

    ReplyDelete
  5. Nyie mnao tukana watu kiss ugonjwa IPO siku Mungu atawaonyesha kama ilivyo tokea kwa waziri wenu selina na katibu wenu wilaya ilala mnazani lowassa kajiumba mwenyewe hamjui Mungu ndie kamuumba wasanii mnao taka mabadiliko tupo nyuma yenu hawa wasenge wachache wasiwakatishe tamaa kwani ikitokea ccm ikachukua nchi wajue itatoka tu sikumoja ata kupitia nguvu ya watoto wao man's hao nibendera fataupepo hawajui maumivu ya watanzania walio kutana na zoruba ya ccm washenzi kabisa hao wapo watanzania kwa ukubwa Wa kodi wanakula mlo mmoja wengine hawali kabisa nyie mnao kula mitatu nakufira mahawara zenu ndio mnaona mmefika nyoko nyie

    ReplyDelete
  6. Lowassa Lowassa ndo rais wetu
    Wengine mabaunza na ikulu in patakatifu hatutaki pombe wala ugomvi

    ReplyDelete
  7. lowaasaaaaaaaaaaaa rais wa tano!!!!

    ReplyDelete
  8. Hata angekuwa ICU bado tungempa kura, mtu anatembea, anafanya kampeni, alafu mnasema eti mgonjwa ha!. huyo ndio rais wetu. Tumeshasema tunataka mabadiliko basi

    ReplyDelete

Top Post Ad