Wema Amtaja Mwanaume Atakayezaa Naye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kupita ukimya mrefu bila kuzungumzia mapenzi, mrembo asiyepoteza ubora wake, Wema Sepetu ‘Madam’ amemtaja mwanaume anayetarajia kumzalia mtoto kuwa ni Luis Munana, raia wa Namibia.

Wema alifunguka hayo juzikati mara baada ya mwandishi wetu kutaka kujua ana mpango gani kwenye ulimwengu wa ‘malovee’ ndipo alipomwanika Luis kuwa ndiye mwanaume pekee ambaye ameshafikia hatua ya kumuamini na yuko tayari kuzaa naye kwa namna yoyote licha ya kujua ana tatizo la uzazi.

“Luis ndiyo kila kitu kwangu, ndiye mwanaume ambaye tunaelewana na siyo mswahili kama kina mwafulani. Luis nitazaa naye hata kwa ku-adopt (kuasili) mtoto kama njia za kawaida zitashindikana, ndiye mwanaume ambaye nimepanga aje kuwa baba wa watoto wangu,” alisema Wema

Kabla ya kufunguka hayo, Wema alikuwa akimposti  mwanaume huyo ambaye alishiriki Shindano la Big Brother-Hotshorts (2014) kwenye ukurasa wake wa Instagram pasipo kuandika kama ni mpenzi wake lakini kwa sasa ameamua kuweka kila kitu hadharani.

Miezi kadhaa iliyopita, Wema aliwahi kuonekana na Luis katika pati ya Instagram iliyofanyika kwenye Viwanja vya Posta jijini Dar kisha wawili hao kudaiwa kulala pamoja katika hoteli moja jijini humo.

Chanzo: GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata mama yako ni tasa, alikuokota kwenye jalala Mike Hijab.

    ReplyDelete
  2. tasa ni samaki bwana mike hija, hanith wee

    ReplyDelete
  3. mijitu mingine misenge kweli, sasa kama Wema wewe inakuhusu nn,

    ReplyDelete
  4. Nasikia Wema analiwa tigo na petit man. Mnamibia hana kinyaa.

    ReplyDelete
  5. Pamoja na mdomo wake
    Tusimkashifu kwa kutozaa
    Bado mdogo , yote ni mtihani ya mungu,
    Msemeni kwa mengine si kwa hili

    ReplyDelete
  6. hata mama yako analiwa tigo na petitiii, itakuwa Wema!

    ReplyDelete

Top Post Ad