Mambo Manne Mazito Aliyozungumza MBOWE Mchana wa Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mh MBOWE akizngumza na wahabari mapema leo Jijini Dar es salaam
Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umeitaka Tume ya taifa ya uchaguzi kutoa tamko kuhusu kauli iliyotoleawa na mmoja wa viongozi wa CCM kuwa chama hicho hakipo tayari kuondoka ikulu hata kama kitashindwa katika uchaguzi ujao mwaka huu.
Kauli hiyo ilitolewa katika kampeni za Urais mkoani kigoma na mmoja kati ya viongozi wa chama hicho ndugu ABDALA BULEMBO ambapo alisema kuwa hakuna njia inayoweza kuwaondoa ikulu na chama cha mapinduzi hakiwezi kuachia IKULU kwa njia yoyote kauli ambayo imeanza kuibua mijadala mbalimbali nchini Tanzania.

Akizungumza na wanahabari mchana wa leo mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo chadema ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa UKAWA ndugu FREMAN MBOWE amesema kuwa kauli hiyo imewashtua sana wao kama vyama vya upinzani na kuanza kuwa na wasiwasi kama uchaguzi huo utakuwa na amani kwa kuwa chama chenye serikali kimeapa kufanya njia yoyote ili tu kisiachie ikuluMh MBOWE amesema kuwa kauli hiyo inaweza kuchukuliwa kawaida lakini ni kauli nzito na yenye mafumbo makubwa ambayo yanaweza kusababisha vurugu kubwa na hadi sasa hakuna mtu yoyote wa chama hicho wala tume ya uchaguzi aliyejitokeza kutolea ufafanuzi kauli hiyo.
Amesema kuwa kama kauli hiyo ni kauli ya chama cha mapinduzi ni ukweli kuwa vyama vya upinzani havitaweza kuwa na imani na uchaguzi huo kwa kuwa tayari chama tawala kimesema hakiko tayari kuachia ikulu huku akienda mbali na kusema kuwa kwa kauli hizo hakuna haja ya kuendelea kuwa na uchaguzi ambao chama tawala kinangangania ikulu
Mh MBOWE amesema sasa UKAWA unaitaka tume ya taifa ya uchaguzi kukitaka chama cha mapinduzi kutolea ufafanuzi kauli hiyo kwani kama ndio kauli yao watangaze kabisa kuwa hakuna uchaguzi kwa kuwa utakuwa ni upotevu wa rasilimali za taifa wakati tayari chama tawala hakiko tayari kukubali matokeo..

MGOGORO WA NCCR MAGEUZI.
Aidha katika hatua nyingine mwenyekiti huyo wa chadema amesma kuwa sakata linaloendelea ndani ya chama cha NCCR MAGEUZI ni mwendelezo wa baadhi ya viongozi wa vyama hivyo kuendelea kufika bei ya kutaka kuisaliti ukawa na hakuna lingine.
Hivi juzi viongozi kadhaa wa chama cha NCCR waliibuka na kudai kuwa chama chao kimekuwa kikiyumba kutokana na mwenyekiti wao kufanya kazi za chadema kuliko za chama huku wakidai kuwa wamekosa majimbo mengi ambayo walikuwa wanayatarajia ambapo Mh mbowe amesema kuwa hiyo sio hoja kwani lengo la UKAWA sio chama kuwa na majimbo mangapi bali ni kuhakikisha kuwa wanaibuka na majimbo mengi bila kujali vyama vyao.
Mh mbowe amesema kuwa swala la mgawanyo wa vyama lilienda sambamba na kuangalia uwezo wa chama husika katika jimbo na kusimamisha mtu ambaye anakubalika katika eneo husika ili kuweza kupata ushindi katika majimbo mengi na sio kutoa majimbo hata kwa watu ambao hawakubaliki katika majimbo hayo.

MPANGO WA KUMSHAMBULIA MBATIA
Katika hatua nyingine mwenyekiti huyo ameibua swala ambalo amesema kuwa wamelipata kuwa kuna mipango ya vijana kutoka chama cha mapinduzi kujifanya ni vijana wa CHADEMA na kumpiga Mbatia wakidai kuwa hawamtaki katika chama hicho jambo ambalo amesema ni mipango mfu kwani tayari chama hicho kimezipata.
Mh mbowe amesema kuwa mipango kama hiyo imekuwa ikipangwa na chama cha mapinduzi na na imekuwa wazi na wamekuwa wakiripoti sana kwenye vyombo vya dola lakini kumekuwa hakuna msaada wowote wanaoupata lakini wamejipanga kiulinzi kwa viongozi wao wote na wanahakikisha kuwa wanakua salama salimini.

MBOWE KUTOROKA NCHI
Akizungumza huku akicheka kwa mshangao mkubwa Mh MBOWE amesema kuwa kuna baadhi ya propaganda ambazo zimekuwa zikienezwa na baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi na maadui wa UKAWA kuwa yeye ameikimbia nchi na haonekani katika kampeni za Mh LOWASA ambapo amesema kuwa ni utaratibu wa kupokezana kazi na sasa Ilikuwa zamu ya MH LISSU na baadae atapokea Mh WENJE ili kupeana nafasi za kufanya kazi za majimbo yao.
Mh mbowe amesema kuwa kuna baadhi ya jumbe za kutengeneza za EMAIL zikimuonyesha MBOWE akiwasiliana na Dk SLAA ambapo amesem ni uongo uliotukuka na hajawahi kufanya hivyo na hajatoka nje ya Tanzania kwenda popote kama wanavyosema huku akisema kuwa kuzushwa kwa mambo hayo ni kutokana na wapinzani wao kuishiwa sera na kuanza kuwadanganya watanzania.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUMEKWISHA SEMA MARA NYINGI KUWA HIVI SASA CCM IMEKWISHA JITAMBUA KWAMBA IMEKWISHA SHINDWA KWENYE UCHAGUZI HUU MKUU WA TAREHE 25 OCTOBA 2015.TENA WATASHINDWA KWA AIBU KUBWA SANA.WAROPOKAJI WAKUU WA CCM WANAFANYA HIVYO KWA KUTUMWA NA VIONGOZI WAO WAKUU.YUPO BULEMBO,MASABURI,LUSINDE,MAKONGORO,NAPE,JANUARI,YUSUPH.HAWA NDIO WACHOCHEZI WAKUBWA WANAOTAKA KUZIAMSHA GHADHABU ZA WATANZANIA WALIO WENGI.SASA HIVI CCM INAZUSHA SINTOFAHAMU ZA MAKUSUDI KWA KUZUSHA UONGO,MINONGONO,KUWANUNUA VIONGOZI LEGELEGE WASALITI WA UKAWA,KUZUSHA HOFU ZISIZOKUWAPO,KUFITINI,KUWATUMIA WAANDISHI WA KUNUNULIWA,KUTAKATISHA FEDHA HARAMU,KUIBA KIILA KILICHOPO HAZINA NA AKAUNTI TATA ZA BENKI KUU,KUJARIBU KUWAGONGANISHA VIONGOZI WA UKAWA,YOTE HAYO KWA NIA MOJA TUU NAYO NI KUJARIBU KUJINUSURU NA KIMBUNGA CHA LOWASSA.KIMBUNGA HIKI TOKA BAHARINI HAKIEPUKIKI MAANA TAYARI KIMESHAINGIA NCHI KAVU,MABATI YA CCM HAYOOO JUU HEWANI SASA WANAPIGWA NA MVUA KUBWA YAANI FIMBO YA WATANZANIA.USHINDI MKUBWA WA LOWASSA HAUNA MJADALA,TULISHA UFUNGA.

    ReplyDelete
  2. hauna akili wewe kkwa hiyo hujui maana ya kampeni kila siku mara mseme hili hata mkijaza sababu ikulu lazima kwa hio nyie mnao sema ikulu asubuhi mshitakiwe meshindwa kugombana nyie wenywe huko huna jipya myuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mtajibeba ikulu nyie mpaka miaka 50 ijayo sio leo umebugi umeuza cha na wajuuukuu leo unaongea utumbo umechanganyika na harufu ya mavi habari ndio hiyo chadema mnanuka zaidi kuliko ccm mavi mmeweka chumbani mfa maji haachi kutapatapa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kusema watakuwa ikulu asubuh haimaanishi Ukawa wataiba kura, ni kauli ya kuwapa moyo wapenzi na wakereketwa wao. Ila unaposema tutaruhusu mambo yote wafanye isipokuwa kuingia Ikulu, hii ni kauli ya uchochezi inayolenga kuleta vurugu. Nashangaa unaposema mfa maji haachi kutapatapa, sasa nani anatapatapa kama sio sisiem

      Delete
    2. nkumbe majibu unayo unajijibu mwenyewe wewe huoni kama mnatapatapa hizo nikauli yakuwashawishi wasikiliza kampeni mnatapatapa mara leomseme hili kesho lile nyietu ndomaana tunawambia mrudi mkajipange upya ikulu bado sana kama wenyewe hamji elewe na wala hamuelewi manachokifanya mkipewa nchi simtaiuza asubuh mme kaa kifujofujo kiubabe ubabe leteni hoja za ngu washawishi wana nchi kwa hoja sio kesho ccm wamesema hivii kosho ccm kila siku pigeni kampeni msubi oct kama hamtajiharishia fungeni midomo leteni hoja kwa wana nchi kamanyie wenyewe mnajikojolea mkichukkua nchi si ndio kabisaaa mtainyea kwendeni zenu mmebugiiii mkajipange upya mmechemka magufuli ooooooooooooooooooooooooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ikulu yako acha wafa maji watatpetape sie tunawangalitu wapayuke mpaka sauti ziishe oct watapata majibu kamili

      Delete
  3. HAYO MATUSI YA NINI WEWE MWANA CCM,ONGELEA HOJA BAHATI MBAYA UNAWATUKANA WATANZANIA WALIO WENGI SANA,UNAWAZIDISHIA HASIRA NA KUOMBA SIKU YA UCHAGUZI YAANI 25 OCTOBA 2015 IFIKE HARAKA UFIRWE WEWE NA MKEO NA WATOTO WAKO WA KUFIKIA NAJUA KUA WEWE NI MSENGE WA KIBAO KATA MBELE YAKO NDEMBE NDEMBE,LAANA KUL,HAYAWANI MSONGO WEE.

    ReplyDelete
  4. leo hii tanzania ukijitambulisha kwamba wewe ni mwana ccm watu watakuangalia mara mbili mbili jee umevaaje,jee hujabeba makopo, jee umechana au kusuka nywele,jee haunuki uvundo,jee huna mawe mkononi,jee umevaa chupi,jee umepiga mswaki,jee unakujua hata unakolala,jee unaweza ukalitamka jina lako vizuri bila kutafuta msaada wa uliye naye jirani?hawa ndiyo wana ccm.machizi,wehu,wahuni,waongo,wanafiki,wezi,makamba type, wanatembea na harufu na mizigo ndani ya nguo hizo za kijani.wanaondoka octoba wanakwenda,wanaweweseka.

    ReplyDelete

Top Post Ad