Picha: Tiffah Alivyoiongezea Furaha Familia ya Zari Afrika Kusini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady.

Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life
Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini.
12063067_504973169676808_876703061_n
Mrembo huyo wa Uganda mwenye makazi yake South ameendelea kushare picha zinazowaonesha wanae wakicheza kwa upendo mkubwa na mdogo wao Tiffah.
10818117_470942569733664_1896259450_n
Katika picha nyingine aliyoshare jana Zari aliandika, “Someone didn’t move an inch… spent half of his night just staring,” ameandika Zari kwenye picha hiyo.
Zari na Tiffah walielekea Afrika Kusini wiki hii baada ya kukaa Tanzania kwa kipindi cha miezi takriban mitatu tangu akiwa mjamzito.
928864_131838347170081_262449761_n
Tiffah akifurahia usingizi kwenye ndege wakati yeye na mama yake wakiwa safarini Afrika Kusini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good life is happyness nothing else

    ReplyDelete
  2. kazi anayo kila wiki anawapa zamu wanaume wake.

    ReplyDelete
  3. hivi Domo ataweza vumilia kweli?mtoto wake kama anacyodai yy mara kwa Ivan mara kwake, yetu macho.

    ReplyDelete
  4. Wale timu ushuzi mpogooooo? Kimyaaa sahiz ngebe zote kwisha. Safi Sana, Mungu akukuzie wanao zari

    ReplyDelete
  5. timu ushuzi ni wewe Kighumi 7,36 AM.tena unanuka NNyaaa kilasaa, watu wako bussy na uchaguzi hawana muda na mtoto wa mababa 3.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mbona Una mababa 200, hebu muwaache watoto WA watu wapumzike. Mfyuuu

      Delete
  6. kafie mbele picha za kiki zinakutoa roho Kighumi wamzungumzie ili iweje kwa mfano? hujawahi kupanda ndege au huna pass! wewe huoni Tiffaa kapelekwa kwa baba yake Ivan, majnuni

    ReplyDelete
  7. ngebe! hazijaisha Tifaa kapelekwa kwa Ivan zamu yake kulea chezea bikizee 45+

    ReplyDelete
  8. Zari anajua kucheza na akili za wanaume bongo baba Domo, sauz baba Ivan hupo hapo, halafu anawaweka watoto wake woote ili Dai asistukie issue, tumeamua kukaa kimya Kighumi tunajua iko cku

    ReplyDelete
  9. Tiffah anafana sana na Katunzi jamani, naona Dai anajua ila anaona aibu kashawaonyesha watu kuwa yye ndo baba halali. hahahaaaaaaaaaa DNA wapiiiiiiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aibu yako uso na haya kuwatakia wenzio mabaya. motto kafanana na Ivan wala hajafanana na huyo Katunzi lol. unatamani kumuumiza mke wa katunzi wapi pita kule

      Delete
  10. komwe la mama yake mdomo wa Ivan, pesa za Dai, patamu hapo!

    ReplyDelete
  11. hivi nyie mmeona Ivan kasema kitu tangu kiki za Dai na Zari? anajua nn anafanya na wako pamoja na mamaaa, tulieni mataona tuu.

    ReplyDelete
  12. Dai si kashapata mtoto ndoa lini? au anaogopa kulea watoto wa x wake.

    ReplyDelete
  13. ROHO ZINAWAUMAJE WATU!!! ZARI KWA RAHA ZAKO MUNGU AKUPE NINI ZAIDI. HONGERA SANA !!!!! KEEP IT UP. WENYE WIVU WAJINYONGE!!!

    ReplyDelete
  14. HAKUNA ANAEUMIA ROHO KENGE WEEE.NANI ASOZAA KTK DUNIA HII, TUNAJARIBU KUMSHTUA MTZ MWENZETU KAINGIZWA CHOO CHA WENDAWAZIMU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MATUSI YAKO INAONYESHA JINSI UNAVYOUMWA NA ROHO POLE WEEE. NA MUNGU AKUSAFISHE MDOMO WAKO UACHE KUTOA MATUSI. WENGINE MATUSI KWETU MWIKO.

      Delete
  15. YES ZARI KEEP IT UP. KUWACHANGANYA VIDUME VINAOPENDA KIKI,

    ReplyDelete
  16. Elimu nzuri sana jamani huyo mtoto hawaki kabisa kumpima Dai anajifariji tuu, hana mbegu za uzazi.

    ReplyDelete
  17. komwe la Tifaa ni la mama yake, sura Katunzi, ahahaaaaaaaaaa, penny shes right wallahi.

    ReplyDelete
  18. jamani nywele za Tifaa zimeanzia kwenye utosi, yaani Dai anajifariji usoni, moyoni analia.cheze bi matende.

    ReplyDelete
  19. mwenye mtoto kakaa kimya! anamchora baba feki, mjini sihami ngo!

    ReplyDelete
  20. MWENYE WIVU WEWE ANONY 2.39 PM, MCHAMBA WIMA WATU WAMEZAA MPAKA WAMEFUNGA KIZAZI, DNA INAHUSIKA TIFAA ANAFANANA NA KATUNZI

    ReplyDelete
    Replies
    1. YAANI MANENO RAHO YANAONYESHA JINSI UNAVYOUMA NA ROHO!!!! POLENI JAMANI NA MUNGU AWASAHEHE KWA KUTOA LUGHA CHAFU .!!!!!

      Delete
    2. nawe una hakika baba uliyenaye ni babako mzazi??? kapime dna uone!!!!

      Delete
  21. Siumueke hata lowasa jaman me huyo kikogwe simtaki mahaba huyo

    ReplyDelete
  22. Nyie wenyewe mna uhakika na Baba zenu??? Mmewakalia kooni watoto WA wenzenu, ka mnalipwA. Wabongo kwa unabii, akikaa bongo kawatelekeza wanae, akienda south kampeleka mtoto kwa babake afanyeje mama WA watu mpelekeni basi vijijini kwenu labda ndo mtaridhika.

    ReplyDelete
  23. Team Wema mnamambo kweli Na ndo maana mko chama cha kimbea na uzushi, uchawi CCM
    Zari mzuri hata mwanaye mzuri
    Wema zaa wako na team yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kizazi akitoe wapi huyo kura 90?? Mambo yanamwendea ovyo kaamua kuingia kwenye kampeni ili apate kula na kulipa kodi. Nasikia haishi kuitazama clip ya Kay alipokuwa anamtunza Zari kwenye 40 ya Tiffah. Pale walikuwepo wanaozaa tu. Kura 90 angeleta nuksi watoto waugue buree. CK harudi hata udhikiri bila nguo. Kampeni zikiisha kauze pampucha ohio street Au uza rejareja kwa kina Ommy na Ali Kiba. Zari oyeeeeeee

      Delete
  24. Kweli huyu mtoto Ni star kutwa yupo midomoni kama big g, hehe he, ama kweli daai kajua kuitumia fursa ipasavyo big up

    ReplyDelete
  25. DNA DNA jamani ili itunyamazishe we need to see the DNA test ndilo suruhisho. Ujanja Wa Diamond kwisha!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ushari wa bure kwako nenda nawe kapime dna ujua kama kweli unayemwita baba ni babako kweli!!!!!

      Delete
  26. hofu ya nini kuibiwa diamond na mtoto wako? kitanda hakizai haramu lakini dna atafanywa tu subiri majibu

    ReplyDelete
  27. Wewe unayesema mtoto ana mababa watatu! Hivi ww mwenyewe unajijua una mababa wangapi? Baba yako anamjua mamaako2 Kaa kimya ushuzi weee

    ReplyDelete
  28. Muacheni malaika WA mungu

    ReplyDelete
  29. hiloooo! lione shankupe weeeeeeeeee, kwani uongo mtoto anawababa 3. na DNA hawampimi ndo nshasema, na nampenda sana Wema hata kama hana kizazi kwani alikuomba mtoto kafirigiswe kichochoroni, Wema yuko juuuuuuuuu mtakufa wima kwa kmuwaza, huyo kizee chenu kinaangaika na mtoto hajui amsakizie nani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. PIMA KWANZA WEWE KABLA YA KUNYOSHEA KIDOLE TIFFAH!!!!HUYO UNAYEMWITA BABA NI BABAKO KWELI!!!

      Delete
  30. yes mimi najijua nna baba mmoja je wewe unawangapi? au ndo kama Domo na Katunzi, Ivan. ops! na wewe unawangapi au mama yako walimpiga mtungi mpaka ukazaliwa funga bakuli lako mavi weee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYO MMOJA NI BABA YAKO KWELI KAPIME UPATE UHAKIKA!!!!! NA UNAJUAJE KAMA UNA BABA MMOJA!!!??

      Delete
  31. NNA BABA MMOJA AMBAE TULICHANGIA NA WEWE ILA MAMA YAKO ATICHANGANYA MABWANA 3 KWA MPIGO KAMA BI KIZEE NA DAI.

    ReplyDelete

Top Post Ad