Baada ya Kampeni za Uchaguzi Kwisha Aunty Ezekiel Anunua Gari Jipya...Mwenyewe Adai Hajanunua Kwa Pesa za Uchaguzi....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga.

Stori hii ninayotaka kukusogezea inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye headlines za  kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.

Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’

Baada ya kupost picha ya hii AUDI, Aunty aliandika >>> ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. moses iyobo mkata kiuno ndio kakukunulia?wadanganye hao fisiemu wenzio,itabidi uwanunulie ata vitz vilaza wa ccm ambao walikuwa wanashabikia upuuzi wenu,hela yote msile peke yenu,wenzenu ata hela ya mihogo asubuhi hawana.

    ReplyDelete

Top Post Ad