Mengi Azomewa Diamond Jubilee, Aokolewa na Membe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzee yamemkuta leo pale kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee leo.Ameokolewa na Mh Membe ambaye amemtoa kwa gari lake(pichani).Lakini pia Mwandishi Sam Maela wa ITV leo mchana kapata mshike mshike wa kushiba pale Lumumba,ilibidi aokolewa na polisi.Jamani haste haste.Kuna maisha baada ya Uchaguzi.Lile lilikuwa gemu tu.Mwacheni huyo Mzee,
 SOURCE - JAMII FORUMS
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NDIO AKOME KUSHABIKIA

    ReplyDelete
  2. Wivu tu unawasumbua, wamuache mzee wa watu na njaa zao kampeni zimeisha ndo mtajua kuisoma namba

    ReplyDelete
  3. si ushabiki kila mmoja ana haki ya kuchagua amuaminie

    ReplyDelete
  4. hawana dili hao wana CCM ....ITV ilifanya kazi nzuri sana kuelimisha jamii au mlitaka iwe kama star TV na TBC waliokuwa na wanaoendelea kutuonyesha habari za CCM TUUUUUUUUUUU!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad