Mwigulu Nchemba Amshambulia Lowassa Kuhusu Afya Yake.....Adai Mwalimu Nyerere Angekuwepo Angetapika Kwa Hoja Finyu za Chadema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.

Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za kupigia kura,na kujitokeza kwenda kupiga kura,na Kumchangua Mgombea Urais kupitia CCM Dr John Magufuli.

Mwigulu  Amemponda  Lowassa  akidai  ni  mtu  mgonjwa  ambaye  hawezi  kushika  hata  Maiki( kipaza  sauti)  huku  akihoji  itakuwaje  siku  akuhudhuria  mikutano  ya  kimataifa?

Msikilize Mwingulu akizungumza.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad