Nini Maoni yako Juu ya Kauli Hii ya Ray Kuhusu yeye Kuikimbia Team Mabadiliko?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huku vuguvuga la uchaguzi likiendelea, leo mwigizaji maarufu nchini Vicenti Kigosi aliyekuwa anaongoza mapambano ya mabadiliko ndani ya UKAWA kabla ya kuhamia CCM ameandika ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake..

“..Kwanza kabisa ningependa kuwaambia wafuata mkumbo mpende kupanua akili zenu na si kupenda kupanua vidole 2.

Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena anayekwambia hivyo ni kiongozi aliyekaa madaraka ni miaka 10 mwingine miaka miwili alafu sasa hivi hao hao ndio wanakwambieni kuwa watawaletea mabadiliko s'tukeni watanzania watatuingiza mkenge hawa wapinzani.

Ninaamini watanzania wanataka kupata m badala wa ccm kwa kipindi kirefu lkn mm naona bado kuwepo mbadala wa ccm maana hao ndio walewale waliotoka ccm. pateni uzoefu kwanza kwa sasa bado mtatupeleka gizani.

Baadhi ya watu wanasema kuwa wasanii wanaowasapoti ccm hawatonunua kazi zao wanamuziki wakiomba wapigiwe kura eti waambieni ccm wawapigie kura wanasahau kwamba msanii naye ana haki ya kuwa upande wa chama anayeutaka yeye kuna mifano mingi marekani wasanii walimsapoti obama nigeria wasanii walimsapoti muhammadu buhari.sio sisi wakwanza kufanya hivyo…”  Ray kigosi



Nini maoni yako ukiwa kama kijana unayetaka mabadiliko?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyani haoni kundule. Watu wengi wenyemapungufu hutaka kupaa kwa kuwashusha watu chini. We dogo, Mlimwona Papa aliomba sala je wewe kichepe. Usifiche myako kwa kuwaumbua watu. Unalijua ninaloongea hapa. Vazi ni pambo tu, umaridadi ni pambo la nje tu. Ndani kwako ndiko kunakokuunguza. Ukweli unajitokeza wenyewe kuhusu wewe huwezi kuuficha. Utaumbuka tu siku ikija.

    ReplyDelete
  2. Where is my comment.

    ReplyDelete
  3. Ray na siasa wapi wapi jamani we piga pesa za ccm, kaaa kipya vinginevyo UNAJISHUSHIA HADHI YAKO JAPO NI KADUCHU

    ReplyDelete
  4. aende kujichibua chooni,yote haya ulikuwa huyajui ulipokuwa team mabadiliko?hela ule wewe na familia yako halafu uanatuletea za kuleta wanafiki wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  5. Msanii kushabikia chama haina shida, Tatizo lenu nyie wakina Ray mmeenda kinyume na upepo wa kisiasa mashabiki wenu asilimia 95% wanaona kwenye hili mlitakiwa mmewasaliti

    ReplyDelete
  6. Msanii kushabikia chama haina shida, Tatizo lenu nyie wakina Ray mmeenda kinyume na upepo wa kisiasa mashabiki wenu asilimia 95% wanaona kwenye hili mlitakiwa mmewasaliti

    ReplyDelete
  7. Shaka ondoa Ray, tuko nyuma yenu.CCM ITASHINDA.
    Ahadi za kumaliza matatizo ya nchi ndani ya siku 100 ni uwongo wa hali ya juu,tena ni wa kishetani,NIMESHTUKA!MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  8. njaaa tu zinawaponza hawa hamna lolote!!

    ReplyDelete
  9. Duh! wewe Ray Mkongo ndo uliwahi kutoa kauli kuwa watanzania watambue ya kuwa kuna maisha kabla na baada ya uchaguzi leo hii ndo unaye andika haya (Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena anayekwambia hivyo ni kiongozi aliyekaa madaraka ni miaka 10 mwingine miaka miwili alafu sasa hivi hao hao ndio wanakwambieni kuwa watawaletea mabadiliko s'tukeni watanzania watatuingiza mkenge hawa wapinzani.) Ray una matatizo si bule alafu jitambue Ray wewe si mwana siasa acheni coment zisizo na hoja andika hoja zenye mashiko za kukitetea chama chako kilicho kuknunua ili tukuelewe ukishindwa hoja tembea nao nao kwenye majukwaa kama orijino comedy nadhani hapo utaeleweka zaidi acheni upuuzi wako vijana sasa wanajitambua kwani Dr slaa naye si alitoka ccm mbona ulikuwa unamkubali unajidhalilisha cheupe bandia wewe!

    ReplyDelete
  10. Duh! wewe Ray Mkongo ndo uliwahi kutoa kauli kuwa watanzania watambue ya kuwa kuna maisha kabla na baada ya uchaguzi leo hii ndo unaye andika haya (Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena anayekwambia hivyo ni kiongozi aliyekaa madaraka ni miaka 10 mwingine miaka miwili alafu sasa hivi hao hao ndio wanakwambieni kuwa watawaletea mabadiliko s'tukeni watanzania watatuingiza mkenge hawa wapinzani.) Ray una matatizo si bule alafu jitambue Ray wewe si mwana siasa acheni coment zisizo na hoja andika hoja zenye mashiko za kukitetea chama chako kilicho kuknunua ili tukuelewe ukishindwa hoja tembea nao nao kwenye majukwaa kama orijino comedy nadhani hapo utaeleweka zaidi acheni upuuzi wako vijana sasa wanajitambua kwani Dr slaa naye si alitoka ccm mbona ulikuwa unamkubali unajidhalilisha cheupe bandia wewe!

    ReplyDelete
  11. Duh! wewe Ray Mkongo ndo uliwahi kutoa kauli kuwa watanzania watambue ya kuwa kuna maisha kabla na baada ya uchaguzi leo hii ndo unaye andika haya (Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena anayekwambia hivyo ni kiongozi aliyekaa madaraka ni miaka 10 mwingine miaka miwili alafu sasa hivi hao hao ndio wanakwambieni kuwa watawaletea mabadiliko s'tukeni watanzania watatuingiza mkenge hawa wapinzani.) Ray una matatizo si bule alafu jitambue Ray wewe si mwana siasa acheni coment zisizo na hoja andika hoja zenye mashiko za kukitetea chama chako kilicho kuknunua ili tukuelewe ukishindwa hoja tembea nao nao kwenye majukwaa kama orijino comedy nadhani hapo utaeleweka zaidi acheni upuuzi wako vijana sasa wanajitambua kwani Dr slaa naye si alitoka ccm mbona ulikuwa unamkubali unajidhalilisha cheupe bandia wewe!

    ReplyDelete
  12. Duh! wewe Ray Mkongo ndo uliwahi kutoa kauli kuwa watanzania watambue ya kuwa kuna maisha kabla na baada ya uchaguzi leo hii ndo unaye andika haya (Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena anayekwambia hivyo ni kiongozi aliyekaa madaraka ni miaka 10 mwingine miaka miwili alafu sasa hivi hao hao ndio wanakwambieni kuwa watawaletea mabadiliko s'tukeni watanzania watatuingiza mkenge hawa wapinzani.) Ray una matatizo si bule alafu jitambue Ray wewe si mwana siasa acheni coment zisizo na hoja andika hoja zenye mashiko za kukitetea chama chako kilicho kuknunua ili tukuelewe ukishindwa hoja tembea nao nao kwenye majukwaa kama orijino comedy nadhani hapo utaeleweka zaidi acheni upuuzi wako vijana sasa wanajitambua kwani Dr slaa naye si alitoka ccm mbona ulikuwa unamkubali unajidhalilisha cheupe bandia wewe!

    ReplyDelete
  13. Of couze ray kura zetu hampati tens ukawa tupo wengi kuliko kumbikumbi pia kumbuka hii.siyo Nigeria au marekani hii nitanzania ccm wenzenu ndio wawapigie kura wengine tumechoka na mfumo Wa chama kimoja madarakani tumechoka kugandamizwa Mali za nchiyetu wenyewe wale wachache mkiwemo nyio wapumbavu

    ReplyDelete
  14. Hivi we kiazi mbatata bado unajishughulisha na si hasa zako. Siasa huziwezi. Taja chama pinzani dunuani ambacho hakikujengwa na watu toka chama tawala. Huna uwezo wa kunishawishi we pimbi

    ReplyDelete

Top Post Ad