Prof. Kitila Mkumbo Awarushia Dongo Mwalimu Nyerere Foundation, Adai Waache Kuchanganya Wananchi...Soma Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Nimefuatilia kwa kiasi mazungumzo ya ndugu Butiku, Mama Mongela na Ndugu Polepole. Nayaita mazungumzo na sio mdahalo kwa sababu hapakuwa na hoja kinzani.Hata hivyo nina angalizo. Kwa takribani miaka kumi tangu JK aingie madarakani Mwalimu Nyerere Foundation walikuwa vinara wa kuinanga CCM na kutuonyesha jinsi chama hiki kilivyobadilika na kuwa cha ovyo. Mimi naamini mlimaanisha na wala hamkuwa na chuki binafsi na JK. Sasa itakuwa vizuri mkatueleza watanzania wenzenu ni lini hasa chama hiki kiliacha yale mabaya mliyotueleza katika miaka kumi iliyopita.Anyway mna haki ya kubadilika kwa sababu tumeambiwa hiki ni kipindi cha mabadiliko. Lakini naomba sana baada ya uchaguzi msitumie MNF kutuhubiria tena ubaya wa CCM. Tafadhalini sana, msichanganye tena wananchi kwa kutumia taasisi takatifu ya Mwalimu Nyerere".

Ameandika hivyo Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Nini maoni yako hapo?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad