Taarifa Zinazosambaa Kuwa Edward Lowassa Amekubali Kushindwa Uchaguzi wa Rais na Kustahafu Siasa! Lowassa Azipinga na Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Edward Lowassa
Kupitia Ukurasa wa Facebook unaitwa Chadema Pameandikwa Taarifa kuwa Edward Lowassa Amekubali kushindwa Urais na Ameamua Kupumzika Siasa...

Edward Lowassa Mwenyewe Ameibuka kupitia Ukurasa wake Halali wa Facebook na kukanusha juu ya habari hiyo na kusema ni za uzushi

Ameandika Haya:
"Taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba nimekubali kushindwa katika Uchaguzi wa Rais ni za uwongo, Ninaomba zipuuzwe" Lowassa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KUBALI TU DADY KWA USALAMA WA WANANCHI,WAPATE AMANI KWENYE MIOYO YAO.ILA UJUE UKAWA TUKO WANAFIKI WENGI.

    ReplyDelete
  2. UTAKUBALI TU BABA.MUNGU AKUPE UJASIRI HUO,ACHANA KABISA NA WACHACHE WANAOKUCHOCHEA.UMEPITWA KWA KURA NYINGI SANA HATA KAMA KUNA ZA WIZI.

    ReplyDelete
  3. Ndo'basi tena, kachunge ng'ombe Monduli!!
    CCM woyeeeeeee

    ReplyDelete
  4. UMESHINDWA KELELE ZA NINI SASA WE MZEE NENDA KWENU ACHANA NA SIASA

    ReplyDelete
  5. Magufuli kashinda Kwa kura za wizi,nakama ccm mlikua mnajiamini ile mikura feki ni ya kazi gani?na bora tuwe htn vyama vingi sbb Hkn demokrasia

    ReplyDelete
  6. walishindwakuiba na wao

    ReplyDelete
  7. Na wao wangeiba basi

    ReplyDelete
  8. MAGUFULI HAKUIBA KURA WATANZANIA HAWAWEZI KUCHAGUA RAISI ANAYE JINYEA NA

    NA FASID I MKUBWA

    ReplyDelete
    Replies
    1. YAONEKANA HUNA AKILI NDG YANGU; HAYO SIYO YA KUONGEA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU. NDIYO MAANA ELIMU NI MUHIMU; KASOME HATA NGUMBALU USTAARABIKE

      Delete
  9. WEWE UNASEMA MAGUFULI KASHINDA KURA ZA WIZI NADHANI UNAOTA NENDA KWA HUYO

    LOWASA KAMSAIDIE KUCHUNGA NG'OMBE NA UWE UNAMSAFISHA ANAPO JINYEA SAWA

    ReplyDelete
  10. Mzee kichaa nn ww ....watu tunasubiri kuapisha ww umekazana kubishana na matokeo TAHIRA Kweli

    ReplyDelete
  11. MZEEE KApumzike bhana make mbowe na mbatia wao walisubiri uwaziri ndo umekosa hivyooooo,,,,magufuri kashinda kweli ila sema tu kuwa ww lengo lko ni urais na kushindwa kwako unaona aibu sasa.......uwiiiiiiii..... kachunge ng'ombe baba achana na siasa thamani yko ilikuwepo kipindi upo ccm sasa kwa hivi sasa hakuna atakaekuthamini karibu alhmic tumuapishe magufuri

    ReplyDelete
  12. acheni midomo bana kwani huyo kofuli hata anawajua? fanyeni kazi hapa tz hakuna siasa wala demokrasia kuna wizi ufisadi umaskini, ujinga na matusi kama yale ya mkapa turidhike tu sasa tutafanyaje

    ReplyDelete

Top Post Ad