Breaking News: Dr Tulia Ackson Mwansasu Achaguliwa Kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hichi Ndio Kilichojiri Bungeni leo Wakati wa Kumchagua Naibu Spika

Wabunge Wote 394
Wabunge waliopiga kura 369
Akidi ya wabunge wanaotakiwa 184
Wabunge Waliopo na kupiga kura 351

Kura Zilizoharibika 0
Magdalena Sakaya 101(28%)
Dr Tulia 250(71.2%)

Hivyo Tulia Amechaguliwa Kuwa Naibu Spika wa Bunge la Tano

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukawa tumesogezewa adui wa wananchi bungeni.sasa hivi tunajiandaa kuandaa hoja ya Mchakato wa katiba mpya ili kazi iweze kuanza mara moja.madui wa wananchi si mmoja ni wengi tukianzia na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI,tuendeleni hoja hii ndani na nje ya bunge. KWA UMOJA WETU wananchi waendelee kuelimishwa umuhimu wa kuikataa kwa kura ya maoni"rasimu iliyoandaliwa na ccm".ni kazi ngumu, lakini Mwenyezi Mungu atakua pamoja nasi.

    ReplyDelete

Top Post Ad