Shilole Akana Kusafirisha Madawa ya Kulevya nje ya Nchi..Adai Anashawishiwa Kufanya Hivyo Lakini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole amekanusha kujihusisha na kusafirisha madawa ya kulevya katika safari zake za nje lakini amekiri kuwahi kushawishiwa kufanya hivyo.

Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa alikataa mtego huo kwakuwa hakupenda kuhatarisha maisha yake.

Kiukweli ushawishi upo niache kusema uongo lakini kwa sababu binafsi na akili zangu timamu na najua nini nafanya basi huwa naweka tamaa pembeni na kuangalia kitu ambacho kina mwendelezo na maisha yangu,” alisema.

Nikiwaangalia watu halafu nikiangalia mpenzi wangu ninavyompenda nimwache hivi hivi, roho inauma pamoja na watoto wangu, nawapenda sana. Halafu wananipa matumaini kwa sababu wana akili sana shuleni,” alisisitiza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ridhika na ulichonacho wewe huijui jela unaisikia tu ukipotea step tu ukanyankwa jela wapo mabinti vibaka na wewe jinsi ulivyo mpwete mpetwe utaenda kuolewa jela acha na usithubutu kabisa mifano mingi tayari nadhani umeishaiona live kwa macho yako isije siku tutakusikia eti oh ningejua we won't buy tha crap from you Mrs "I love U Tanzania"KEEP OUT OF IT!!!STAY CLEAN

    ReplyDelete
  2. Kwa habari hii tunaanza na wewe,utuonyeshe waliokushawishi,tunaanza kutengeneza TZ mpya.

    ReplyDelete

Top Post Ad