AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moze Iyobo.
Akizungumza na Amani, Aunt alisema kuwa aangalii hela hata kama wakilala njaa lakini kama kuna mapenzi ya kweli inatosha kabisa kuliko kuwa kwenye hela akaumizwa na kunyanyaswa.
“Acha niendelee kuwa na dansa wangu kuliko kuwa na pedeshee ambaye hana mapenzi ya dhati kwangu akaenda kuniumiza na nisione raha ya penzi, kwa Moo (Iyobo) nafurahia mapenzi na wala siyo pesa kwani hata njaa tunaweza kulala,” alisema Aunt.

chanzo;globalpublishers
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huyo Bilal wako wakuache na Bilal wako
ReplyDeleteso umefunga ndoa na wanaume wawili?
ReplyDeleteHela ya kampeni tamu subiri iiche utawatafuta hao mapedeshee.
ReplyDelete