Diamond Awakera Baadhi ya Mashabiki kwa Video Hii Yenye Ujumbe wa Utata!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?

Yes, kitakachotokea ni kile mtu na mpenzi wake wakikutana kitandani hufanya – they make love!

Lakini Diamond amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kupost video hiyo juu na kuandika: Jus love my Uganda’s Room….Can’t wait for the Dirty game with mama tee here lol!

Tembelea kwenye ukurasa wake wa Instagram ujisomee comments za kukinzana!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkuma wake upo hadi kwenye mitandao,chaajabu nn?wacha tu wavunje amri yasita na mungu yp anatusubiri kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe,Ama nene??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaeh, halafu alikuwa 'kayafuga'..duh kama Osama

      Delete
  2. Bibi bomba amewapanga foleni, party ya mwaka jana alikwenda na domo, ya mwaka huu kaenda na Ivan, tusubiri ya mwaka kesho........huyo domo alibishana na Nay aliposema mapenzi ni pesa, yeye akasema mapenzi ni kupet......kulikoni??

    ReplyDelete
  3. kweli mdau uchi wa Zari uko kwenye mitandao kila cku sasa huyo Almasi anamwambia nani. akaogelee tuu.

    ReplyDelete
  4. hivi huyu mtandale habadiliki? mbona kila cku anarudi nyuma kitabia? huyo Kizee chake nani asojua kama anatiwa na Ivan kwa sasa. ye alee mtoto wa kusingiziwa.

    ReplyDelete
  5. na wewe hapo mungu atakusubiri vilevile na mzigo wako ulioubeba mjaa laaana we

    ReplyDelete
  6. HIVI JAMA KINAWAUMA NINI KATI YA MTU NA MWANAMKE WAKE AU NINYI MAHANITHI ? MAANA MNAPONGDA PONDA TU KANA MKWAMBA NI JAMBO LA AJABU NANI MWANAUME ASIEFANYA HILO? AU HAMIENI SAUDI ARABIA AMBAKO KILA KITU NI SIRI ,WASHAMBA WAKUBWA, SWAIN NYIE WEKENI NA NYIE PICHA ZA WANAWAKE WENU KANJU YANGU TUUWAONE

    ReplyDelete

Top Post Ad