Diamond Platnumz Aikacha Party ya Zari All White Ciroc Party, Ex wa Zari na Wapambe Wake Wahuzuria, Picha Hizi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wana watoto watatu pamoja na wana biashara kibao za pamoja, hivyo ni ngumu kwa Zari na mume wake wake wa zamani, Ivan kupotezeana licha ya kila mmoja kuchukua njia yake kimahusiano.

Ivan na jamaa zake wa Rich Gang wakila bata kwenye Zari All White Party

Ndio maana Ivan na mpambe wake King Lawrenc walisafiri kutoka SA na kwenda kumuunga mkono Zari ambaye Alhamis hii aliandaa party yake ya kila mwaka ya mavazi meupe tu kwenye kiota cha Guvnor kilichopo Kampala Uganda.


Zari All White Ciroc Party
Zari All White Ciroc Party

ZARI8912ZARI834ZARI234ZARI734


ZARI0923


ZARI13

ZARI90

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh!! Naoma kama hayatuhusu vile.........au vepe

    ReplyDelete
  2. kwani hajui kama Zari anawanaume 3. chezea pesa ww.

    ReplyDelete
  3. hata huyo Tiffa atapewa Ivan. kabikia matangao ya Utanipenda

    ReplyDelete
  4. bado wako pamoja. hata nyumba wanaishi na kulala pamoja. Domo anajua vizuri, kabikia kumgangania tifa

    ReplyDelete
  5. NAANZA KUWA NA WASIWASI ZARI ANAWACHANGANYA. PATAMU HAPOOOOO.

    ReplyDelete
  6. Zari hawezi muacha Ivan. ndo anaempata maisha ya pesa. sasa Dai ni kiki pesa yake haitoshi.

    ReplyDelete
  7. Haloooow boss Ivan kachukua mzigo wake. Domo kaingia mitini

    ReplyDelete
  8. naota ndoto<<mbona ivan anafanana sana na tiffah jamani!!

    ReplyDelete
  9. hiyo pati ilifana sana hongera. pia nakushauri ishi na mumeo anakupenda achana na vijana wanaopenda kulelewa. heshimu ndoa yako na mumeo ivan.

    ReplyDelete
  10. Zari mwacheni Zari
    Yeye ndo anajuwa pumba hadi mchele

    Fyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. Lipeni umeme Na maji
    Ya Zari Na domo waachieni wenyewe

    ReplyDelete

Top Post Ad