Habari ya Week Leak Kwamba Osama Bin Laden Bado Yupo Hai Yaishtua Dunia....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.
----------------------
From the Web:

Worldnewsdailyreport.com published an article recently in which they quoted Snowden saying that Osama was living in Bahamas and was on the payroll of CIA.

The article quotes him as saying - “I have documents showing that Bin Laden is still on the CIA’s payroll. He is still receiving more than $100,000 a month, which are being transferred through some front businesses and organizations, directly to his Nassau bank account. I am not certain where he is now, but in 2013, he was living quietly in his villa with five of his wives and many children."

The article further quotes him as follows - “Osama bin Laden was one of the CIA’s most efficient operatives for a long time. What kind of message would it send their other operatives if they were to let the SEALs kill him? They organized his fake death with the collaboration of the Pakistani Secret services, and he simply abandoned his cover. Since everyone believes he is dead, nobody’s looking for him, so it was pretty easy to disappear. Without the beard and the military jacket, nobody recognizes him.”

But the real catch is this - The website which published the article is a satire organisation. 

A disclaimer on their site reads as follows - WNDR assumes all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Habari za kwa lugha ya kingereza kwanza potofu HAWEZI KUOA WAKE ZAIDI YA WANNE (Dini Ya kiislamu inavyoruhusu)WANASEMA FIVE OF HIS WIFE HAPO TU wanaanza kwa oungo,sikuendelea kusoma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mohamad alikuwa nao wangapi kama unasoma vitabu vya hadithi?

      Delete
  2. Udaku kweli kweli....................

    ReplyDelete
  3. MUHAMMAD SALALLAHU ALAIHI WASALIM sio BIN LADEN
    SHERIA YA KUOA WAKE WANNE ILIKUJA BAADA YA MUHAMMAD KWISHA KUOA
    SOMA QUR ANI SIO HADITHI

    ReplyDelete
  4. HAYA NI MAMBO YAKUTISHA DUNIA ILI TUSIKAE KWA RAHA.KAMA HAWANA MATANGAZO BORA WALETE HABARI ZA MICHEZO

    ReplyDelete
  5. Mdau Mtume na mja wa kawaida ni tofauti. Yule alipewa mamlaka Na Mungu kwa nafasi yake. Mja wa kawaida utaowa kuanzia wawili mpaka wanne. Ukitaka zaidi acha wengine lkn kumbuka Mwenyezi Mungu talaka haipendi japo si haramu.

    ReplyDelete
  6. mimi hizo habari nilizisoma katika magazeti za urussi miezi miwili imepita katika lugha kiingereza na wamesisitiza kama yupo huko marekani

    ReplyDelete
  7. Na Bilali yupo hai

    ReplyDelete
  8. Wakiwaona mnakaa kwa raha wanaanzisha matatizo kwenye mitandao,ili muradi muishi kwa khofu nakuchukiana.

    ReplyDelete
  9. dah jaribuni kutafuta na kuperuzi issue ambazo ni breaking na sio zilizopita hii habari wezenu wameitoa tangia tar.25 july 2015.be up dated

    ReplyDelete

Top Post Ad