Hatimaye Samwel Sitta Akubali Yaishe Aamua Kustaafu Rasmi Siasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye mzee Samwel Sitta atangaza kustaafu rasmi siasa, hajasema kama atarudi kijijini kulima kama ilivyo kwa wanasisa wengi ambao Mara nyingi wanapostaafu hutangaza kurudi kijijini na kuwa wakulima, lakini pia kilimo kwanza ilikuwa ndiyo Sera ya chama chake katika Serikali ya awamu iliyopita.

Source: Magazeti ya leo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakati umefika sasa kwa wanasiasa pamoja na viongozi wote wazee kustaafu. Kihistoria, makundi hayo niliyoyataja yalipata elimu toka kwa mkoloni. Ushahidi unaonesha kuwa elimu waliyopewa na mkoloni haikuwa na lengo la kumuendeleza mu-afrika. Lengo kuu lilikuwa kuandaa tabaka la viongozi ambao wataendelea kulinda maslahi ya wakoloni, hata kama nchi za Afrika zitakuwa zimepata "uhuru".
    Kazi hiyo ndio waliyoifanya, na Waafrika kwa ujumla wamekuwa ni masikini kuliko watu wa mabara mengine kutokana na uwepo wa tabaka hili la viongozi; matatizo ya rushwa na ufisadi kwa asilimia kubwa yanasababishwa na ubinafsi walionao viongozi wa ki-afrika ambao wengi wao wanawakilisha maslahi yao binafsi pamoja na wakubwa zao, yaani nchi "zilizoendelea". Hivyo kwa pamoja, kizazi kipya cha Waafrika kifanye jitihada za dhati za kuwaondoa viongozi hawa katika nydhifa muhimu za maamuzi mmoja baada ya mwingine. Hapo ndipo tutaanza kupanga na kufanyia kazi maendeleo ya kweli ya Muafrika.

    ReplyDelete

Top Post Ad