Le Mutuz Naye Afunguka Kuhusu Rafiki Yake Dr Mwaka...Adai yeye Amejiridhisha Dr Mwaka Hana Kosa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

EXTRA LIVE STRAIGHT TALK:- Ok guys kama nilivyosema ninarudia tena Dr.Mwaka ni rafiki yangu na ni my Client ni mtumzima mwenye akili timamu sijawahi kuwa na sababu ya kum doubt leo nimemtaka in private anihakikishie kwamba hizi tuhuma si za kweli na AMEFANYA HIVYO amenitumia kila kinachotakiwa Ku prove tofauti na kila anachotuhumiwa...nilitaka kujiridhisha na so far nimeridhika ana kila anachotakiwa kuwa nacho kufanya yote anayoyafanya...nilitaka kuweka wazi hilo tu NIMERIDHIKA unless nije niambiwe tofauti again nitasema...again sijawahi kumkimbia rafiki akiwa kwenye matatizo NEVER...in my life huwa sijibizani na yoyote anayemuhusu ndugu yangu wa damu NEVER maana nitakuwa namvunjia heshima anayemuhusu na siwezi kugombana na damu yangu kwa sababu ya MTU wa kupita hapana...nilipokuwa Baharia kuna wakati tulikuwa na safari ya Europe to Brazil ni lazima kupitia "BERMUDA TRIANGLE" mahali pa hatari sana ambapo hata kampuni yako ya Meli inakupa options za kubadili Meli usiende pale maana mkifika pale Meli inaweza kuzungushwa na Maji wiki nzima ndio mkaweza kupita na ukipita pale unaongezwa Mshahara binafsi nilipita Mara tatu in my Six years ya Ubaharia wangu. So sio mgeni wa kuchafuka bahari....my point is hakuna kazi isiyokuwa na "BERMUDA TRIANGLE" Social Media INA FAIDA na HASARA zake ila to me FAIDA ni kubwa kuliko HASARA so ni ya kawaida kusingiziwa singiziwa lakini in the end THE TRUTH WILL PREVAIL so again tayari nimejiridhisha na Dr. Mwaka sasa imebaki Naibu Waziri na again ninamtakia heri na niaamini UKWELI UTAJULIKANA WOTE TUTAKUWA HURU makosa ni kumuhukumu MTU bila FACTS just because Fulani kasema kama ushahidi WOTE alionipa Dr. Mwaka ni wa kweli basi TUTAKUWA na aibu ya the Century by leo jioni! JAMANI ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad