Mkurugenzi wa Huduma Kwa Wateja Zantel Apigwa Risasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hii imetokea barabara ya Coca Cola karibu na Nabaki Afrika. Inasemekana director huyo anajulikana kwa jina la Gabriel Kamukara amepoteza maisha kwenye eneo la tukio.

Inasemekana alikuwa na kiasi cha pesa na hao majambazi wamefanikiwa kuzichukua.

Watu 2 wamepigwa risasi na kuporwa fedha wakiwa katika gari lao eneo la Nabaki Afrika DSM.

Tazama Video:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu atawalipa hawo majambazi..unalipwa matatu duniani,kaburini na akhera..

    Zote hizi ni tamaa ya dunia wanasahau kama kuna kufa kesho ukionana uso na uso na muumba wako aliyekupa viungo kamili..kila kiungo kitajieleza ulikitumiaje na hapo ndo atajuwa faida kuibia na kuuwa watu wote wezi hawaa.

    Mungu atujaalie tusiwe na tamaa ,tusitamani ya wenzetu,tusifikie walipofikia hawa jamaa unatowa roho ya mtu sababu pesa.tujitume jamani na tukinai alichotupa mungu..mungu ndo alopanga amekukosesha wewe akampa mwingine yote unatakiwa kushkuru yote ni mitihani wa mungu.leo unakosa pesa au tamaa unataka kushindana na mapangilio ya mungu unamuua binadamu kama kaacha watoto yani na mke.una dhambi ngapi jambazi wewe..watoto wake wataishi vipi,kama wazazi wake wanamtegemea na ndugu wataishi vipi..umekubali kulifanya sababu ya tamaa yote haya utayabeba mgongoni mwako heeeh ...haya ataona faida yake ...wanasahau kama dunia ni matembezi jamaniii kesho kuna kukutana na mungu

    Mungu awape subra walofiwa na mungu yupo pamoja nanyi....na hao walotenda jambo hili wanazidanganya nafsi zaooo malipo ni duniani akhera kuisabiwaaa.watajutaaaaa majutooo mungu analipa kila tendo utakolifanya kama zuri au baya.

    ReplyDelete
  2. Hebu msitiri marehemu hiyo picha ni utovu wa maadili.

    ReplyDelete

Top Post Ad