AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ninaujauzito na siko tayari kuzaa na mtu nisiye mjua.iko hivi, ni mwezi sasa umepita tulivamiwa sehemu niliyopanga sijui kama na wenzangu iliwatokea ila wezi hao waliingia vyumba vinne tofauti na changu kikiwemo, waliingia kwangu walihitaji hela nasikitika mmoja wao aliniingilia kimwili, sikua na jinsi kwa sababu walikuwa nasilaha. Hivyo naombeni mnisaidie siwezi kuzaa namtu nisiye mjua jamani.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kapime ukimwi kwanza, kama haujambukizwa basi zaa tuu umlee mwanao anaweza kua mtu muhimu
ReplyDeletePOLESANA DADA YANGU INGAWA YAMETOKEA USIFANYE KOSA RA KUUA HICHO KIUMBE HAKINA HATIA INGAWA HUJUI ARIYE KUPA UJAUZITO WEWE MUREE MWANAO MUNGU ATAKUJARIA
ReplyDeleteMmmh ra,ariye,muree. Kiswahili kigumu
ReplyDeletezaa tu, kwani jambazi cyo mtu?, yapo majambazi ya aina nyingi, yapo majambazi ya mali za umma, ya kuhukua rushwa, yakuvunja nyumba, kwahiyo yote ni binadamu tu, unaweza hata ukawa unaishi na jambazi mmoja ambaya sana anayeiba mali za umma!!
ReplyDelete