Rais Magufuli: Kwa Mara ya Kwanza Serikali Inakusanya Takribani Trilioni 1.3 Kwa Mwezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi.

Pia amewahakikishia watanzania kuwa ahadi yake ya kutoa elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ni lazima itekelezwe.

Amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa kodi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapa kazi tu aendelee na Mungu awe pamoja naye

    ReplyDelete
  2. Inatia moyo hasa ukichukulia serikali yake bado changa sana hata zile wizara zake muhimu hazijawa na mawaziri bado. Watanzania watarajie makubwa kutoka kwa muheshimiwa Magufuli. Ila anahitaji kuungwa mkono na watanzania wote kwa moyo that kabisa kwani ni msimamizi mkuu wa naisha yao na anaonekana kuwajali sana anaowatumikia.

    ReplyDelete
  3. Huyu ndio mwanaume wa shoka

    ReplyDelete
  4. magufuli kaza mwendo uwe mfano kwa afrika nzima

    ReplyDelete
  5. Nguvu ya soda tu hiyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lete yako ya juisi

      Delete
    2. Unasema ni nguvu ya soda huku umelewa,hujitambui! Soda gani hiy??

      Delete
    3. mjitu mengine imezoe kunyanyashwa basi hata wakiona vitu vizuri hawavijue. Basi lete yako gogo

      Delete
  6. Basi leta yako ya konyagi

    ReplyDelete

Top Post Ad