Diamond Platnumz: Baada Ya Nape Nnauye Mimi Ndo Waziri wa Habari Na Michezo Mtarajiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.

Akizungumza katika kipindi cha Papaso cha TBC FM, Diamond alisema kama akiingia kwenye siasa basi nia yake ni kuwa Waziri wa Michezo.

“Kwa sasa hivi siasa bado ila nikiingia kwenye siasa baadaye akimaliza mheshimiwa Nape nachukua mimi kile cheo cha Waziri wa Michezo,” alisema na kuongeza;

“Kile nakiweza kabisa kwa sababu mimi ukinimbia sijui kuhusu mpira, movie mimi naweza kabisa nikiwa Waziri, nikavifanya na vikawa na maendeleo.

"Ni kitu ambacho naweza siyo nasema nataka kuwa mbunge ila mimi nataka ile siku nimeacha kufanya muziki naingia kwenye siasa basi nakuwa Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na kuboresha vitu”

Diamond ambaye hakuweka wazi kwamba ataingia kwenye siasa kupitia chama gani, mwaka jana katika kampeni za uchaguzi mkuu uliomuingiza rais Magufuli madarakani, alishiriki kikamilifu kwenye kampeni za CCM na kutengeneza wimbo pamoja na video.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haaah nicheke mie

    ReplyDelete
  2. Anaweza kupata ubunge lkn siyo uwaziri. Anajishaua kweli huyu kaka. Kwa CV gani mpaka awe waziri!!! Nyooo!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thank you, Kwa education gani oliyo mayo? he needs to get over it, yeye alifikiria unaokwatwa tu, you need to have degree, rudi shule ndio utautapa.

      Delete
  3. ataingia kwenye siasa kupitia ukawa

    ReplyDelete
  4. Domo kwa shule gani na busara gani
    Ulizonazo
    Labda Ridhiwani akiwa rais
    Au Zari wako
    Hata udiwani hupatiiiiiiiiiii
    Pima dna
    Kigoma mna matatizo gani nyinyi
    Si wewe, si zitto, si kiba mnnanuka kwa scandaly tanzania

    ReplyDelete
  5. Oops wema atakuwa rais wa USA
    Zari rais wa uk

    ReplyDelete
  6. hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  7. Makahaba mama watu wazima wanakushinda akili,utamuongoza nani?wewe utaweza tu kumlea mtoto katunzi huo ndio uwezo wako na cyo kuongoza watu wenye akili zao timamu.

    ReplyDelete
  8. msimbeze huenda kaahidiwa...kama ni shule atasoma tu

    ReplyDelete
  9. arudi shule kwanza.ajue jinsi ya kuongea na aache mambo ya kike.

    ReplyDelete
  10. Nafikiri anaweza kuwa milionea lkn sio waziri hasa awamu ya magufuli mpaka uwe professor siyo mlea vizee km ww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aupate wapi umillionea
      Ana vijisenti tu
      Angekuwanazo angenunua majumba SA, USA na uk
      Kila akija USA na uk kujibanza kwa watu fyuuuuu

      Delete
  11. Shida sio kuwa waziri ..shida ni shule...go back to school first

    ReplyDelete
  12. Atakuwa waziri Zari kumtunzia watoto

    ReplyDelete
  13. Msameheni alitania tuu harudii tena

    ReplyDelete

Top Post Ad