Le Mutuz Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Amvaa Benard Membe..Adai Membe Ametukosea Sana Watanzania....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lemutuz
Kufuatia kauli za aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika awamu ya nne Bernald Membe, kuonekana kupinga juhudi za Rais John Pombe Magufuli kwenye masuala mbalimbali ikiwemo suala la Safari za nje kwa viongozi wa Umma.lemutuzzzzsss

Mtoto wa aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania John Malecela, anaefahamika kwa jina la Le Mutuz Nation amefunguka ya moyoni na kueleza kuwa anachokifanya Membe sio ustarabu kwa serikali ya Magufuli kwani hajatumia ustarabu kama kiongozi na kuamua kuonesha ubinafsi.

Ameandika Kama Ifuatavyo;

LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys Membe ametukosea sana WaTanzania kwa kauli zake Kali za kukemea juhudi za Mabadiliko ya Rais Magufuli ambaye ndio kwanza anakaribia kutimiza mwezi wa pili katika Madaraka infact Membe ameonyesha Tabia moja isiyokuwa nzuri sana kwetu wote binadam yaani UBINAFSI au SELFISHNESS...I mean Rais Magufuli anachokifanya ni kile alichokiahidi ambacho hata Membe mwenyewe alikiunga sana mkono kwenye kampeni za Urais na sisi wote Magufuli alisema wazi kwamba Taifa limeoza Membe alikuwa na nafasi kubwa kumkatalia then kwamba sio kweli Taifa halijaoza kwa sababu labda moja ya sababu ya Membe kujitokeza now na kauli Kali ni kujaribu kutetea record ya utawala aliokuwa mshiriki wa karibu na Rais aliyepita basi anakosea sana kwa sababu tulimkataa Lowasaa kwa kuwa alikuwa Rafiki na matajiri na waliotuambia kwamba Lowassa hafai ni pamoja na yeye mwenyewe Membe sasa Leo kweli tena Membe anasimama kushambulia kazi za Magufuli kwa niaba ya Wafanyabiashara? ....Please Membe atuombe radhi WaTanzania Millioni 50 tuliomchagua Magufuli cause sisi bado hatujalalamika kivileee kama yeye mtu Mmoja ambaye hapa anakuwa kigeu geu ni yeye Membe aliyesifia uamuzi wa Magufuli kusimamisha Safari za Nje kwa Maofisa wa Serikali akasema "Tulikuwa tunapishana Juu kwa JUU kama nyumbani kuna moto" Leo Mwezi Mmoja na Nusu later Membe tena amebadilika anasema Safari ni lazima? WHY? .....jana nilikuwa mstaarabu kidogo nilidhani Membe alipitiwa tu lakini kumsikia akizungumza tena Jana nasema HAPANA agenda aliyonayo Membe this time around sio yetu Wananchi ninaanza kuwa na wasi wasi labda Rais JK aliwapa watu wengi vyeo kwa USHAURI wa Membe ndio maana sasa anaumia kuona alikuwa anamshauri vibaya Rais like sio siri Mkurugenzi wa NIDA alikuwa ni Rafiki wa karibu sana wa Membe Jana tu imedhirika huenda amefuja karibu Tsh. 156 Billion za kodi zetu kwenye vitambulisho vya Taifa now niambie kipi cha ajabu Mkurugenzi wa Shirika la Umma amepata wapi mapesa ya ajabu mpaka kujenga MRC pale nyuma ya Shoppers Plaza Mikochen? ...I mean kuna mambo mengine wanatufanya kama Watoto WHY? Membe amezungumza kutetea Wafanyabiashara na mediocre leaders it is wrong atuombe radhi Watanzania..Lemutuz

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaaa kimya we litoto usiekua use na class dalali was wanawake lofa namba 1 jiongelee wewe na familiar yako sio watanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu kabisa sasa hapo kakosea nini kuzungumzia ujinga wa membe?????????? unataka nchi hii iendelee kuliwa?????? au katika watu waliotumbuliwa na baba yako yumo???? mshenzi kabisa yaani wewe ndo unatakiwa kuwa shut up

      Delete
    2. yani kuna watu wengine ni wakuchapa vibao
      yani ushuzii mtupu
      Le Mutuz yuko sahihi kabisa huyo membe kama ni baba yako mdogo au bahasha ako ni mpumbavu tena mpumbavu mwili mzima
      na hana uchungu na taifa ili changa linalokuwa yuko kimaslai yake mshenzi kabisa
      na usomi wake lkn limekosa busara na hekima

      Delete
  2. jamani huyu membe mi naona mkimuongelea sana kama mnazidi kumpa umaarufu vile. hebu achaneni nae anatafuta kick tu hapa. walizoea kuichezea nchi kama msala vile. walikua wanafanya wanachotaka. bila kujali wanyonge na wavuja jasho. magufuli kaza uzi, wembe ni huo huo mpaka kieleweke.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli lkn bro nenda gym kdg urefushe maisha punguza ulabu USHAURI wa bure

    ReplyDelete
  4. Enter your comment. da akili mgando zile zile... kweli CCM ni adui namba moja nchi hii, yaani mtu kukosoa kwa kutumia haki yake ya kikatiba inatakiwa aombe msamaha.. CCM mbele kwa mbele na CCM ni ile ile...

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaonyesha olofa wako yaani ni bora usingechangia ni utumbo mtupu hovyooooo

      Delete
    2. WEE NAWE UMETUMBULIWA JIPU NAONA SI BURE,ENZI ZA AKINA MEMBE CCM ILIKUWA ILEILE LAKINI SIO AWAMU YA 5.
      LALA MBELE HUKO NDOROBO WEE

      Delete
  5. wewe mdau mtoa maoni no mbili wewe unaonekana ni msenge kwa nini hutaki membe akomaliwe na makosa ambayo anayafanya kama mtu mzima hasa mwana ccm?

    huyo membe ana yake anayoyataka awafuate kina lowassa huko ukawa ni mwenda wazimu, kichwa panzi ndio maana alishindwa kuleta maendeleo kama akili zake ni finyo kiasi hicho

    ReplyDelete
  6. Tatizo lenu wana CCM mnataka kukosolewa na wapinzani tuu haya baadhi ya wana CCM wanajua wapi mnakosea,Hivyo bac membe ana haki ya kusema chochote kile ambacho kina makosa hio ni haki yk ya msingi,nyie ccm mbona mna siasa za kishamba?

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae fala kweli
      membe anachokizungumza ni kwa maslai yake anadai maslai yake wala sio maslai ya watanzania ni mnafiki
      fatilia mazungumzo yote ya membe hata kabla ya magufuli kuteua baraza la mawaziri ndio utaelewa sio unaropoka tuu kama janamke la malaya

      Delete
  7. HUYU JAMAA SIJUI KAGUSWA KWENYE JIPU ANAOGOPA ATAKAMULIWA?
    MBONA KAANZA KUONGEA NA KUKOSOA GHAFLA ILI HALI HOTUBA YA JPJM ALIIUNGA MKONO?

    ReplyDelete
  8. Le Mutuz huwa sikukubali lakn at lest
    umechangia point
    membe ni boya sana
    na watanzania hii serikali ya JPJM tukiidharau sasa bdae tutaikumbuka
    Magufuli ndio rais anayestahili kwa hawamu hii wala sio hao wengine

    ReplyDelete
  9. Mtoto mdogo fyuuuu
    Tapelihili hakuna
    Fisadi hakuna
    Jizi hakuna
    Magufuli
    Hili nalo jizi
    Anaktumiwa na wahindi

    ReplyDelete

Top Post Ad