Hatimaye Idriss Sultan Azibitisha Kuwa Wema Sepetu Ana Ujauzito Wake..Amwita Wife

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo Asubuhi Idriss Sultan Ameweka Wazi uhusiano wake na Wema Sepetu na Kuwa wanategemea Kupata Mtoto kupitia Meneno haya hapa chini;

"Me and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama "Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike" au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food. The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you're jealous unasonya sonya, when am jealous i smile. I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars.
You're more than i ever asked for, you're my everything "My Wife" 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa!Ndoa,ndoa,ndoa tafadhali,uzinzi iwe basi maana tunamkosea sana Muumba wetu,si ndio wapenzi?
    Idris na wema wanapishana sana umri,tunarudi kulekule kwa Zari na kijana wa tandale.AU?

    ReplyDelete
  2. wewe ngoja pesa ziishe ndio utajua kuna penzi au laa unavamia tu.

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...kuwa hivyo ni heri nawatakia maisha mazuri kwani wangapi walioachana hao watakuwa wa kwanza lakini wao wameelezea maisha yao yaliopo sasa yajayo manaani nfo anayejua! God vijana wote ni wabichi kabisa nyie endeleeni kuwa pamoja kwani ulaya amuoni au ni Africa tu penzi halichagui!

    ReplyDelete
  4. This is when a bad boy and bad girl meets asikwambie mtu ni zaidi ya raha

    ReplyDelete
  5. Waandishi wa habari ni shidaaaaa!
    Sasa ile ya kusema Wema kapewa mimba na kigogo CCM mliitoa wapi?

    ReplyDelete
  6. daa!!mwafaana kweli..Mola abariki ndoa yenu kuliko ile ya tandale

    ReplyDelete
  7. Jamani niuzieni hiyo kadi ya baby shower nije kumtunza wema hayo mabegi yangu assantee kidume cha mbegu milele Na milele amiin muache hao wanaojua kuekeza hakuna stress baada hapo ndoa ubwabwa mnene saafi then kazi kwa kwenda mbeke. Go go wema

    ReplyDelete
  8. Watandale kaambuwa luga yenyewe Hana kabaki kucheka cheka tuu muda wote bi zari hacheki wala hatabasam muda wote km ananusa mavi fyuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. bora wa tandale kuliko wewe ambaye hata cha kuombea maji hujui pumbavu zako achana na wanaojitambua

      Delete
  9. Na yule Luis aliishia wapi.maana kwenye birthday ya Wema alikuwa very close na Idrisa

    ReplyDelete
  10. HILI NI CHANGA LA MACHO. MWENYEWE NI LUIS ILA HATAKI KUJIONYESHA ATATUPA SUPRISE SIKU YA NDOA. MTU MPAKA KABADILISHA DINI.

    ReplyDelete
  11. Acha movie iendelee

    ReplyDelete
  12. Hawana cha kuza kwenye magazeti so wameamka na story fake

    ReplyDelete
  13. Yule alikua kampambe wa kuvalisha like gauni kubwa sasa tuna baba watoto ndani ya nyumba heshima kidogo

    ReplyDelete
  14. we unaemtaka Luis kamchukue wew sasa ye kamuacha kabaki na wema

    ReplyDelete
  15. ni kweli nimeshuudia kwa macho yangu wema mjamzito.mungu mwema

    ReplyDelete
  16. Enter your comment...Endeleeni na mapenzi yenu mwaya Mwenyezi Mungu awajalie mpate yote yaliomema achaneni na watu wanaowaombea mabaya Mungu anawaona walipwa hapahap duniani na wala msiwaogope.

    ReplyDelete
  17. hamna lolote hapo....baada ya pesa kuisha kibut na maisha yanaendelea....tunataka DNA

    ReplyDelete
  18. hakuna lolote hapo..baada ya pesa kuisha kibuti na maisha yanaendelea...na tunataka DNA

    ReplyDelete
  19. kama ni kweli kila la heri!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. Acheni UNONKO nyie MAJIPU.

    ReplyDelete
  21. MOND NDIO GUMBA

    ReplyDelete

Top Post Ad