Membe: Sitanyamaza,Ni Haki yangu Kikatiba..Nijibuni Kwa Hoja na si Kuniziba Mdomo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Benard Membe
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkuu dalili zinaonyesha na wewe muda si mrefu utasema CCM sio mama yangu.

    ReplyDelete
  2. It's better akae kimya. ..really pointless

    I can't even imagine. ..

    ReplyDelete
  3. hana nafasi serikalini ya kusikika lazima aseme lolote popote ili asikike hata km halina mashiko

    ReplyDelete
  4. KWANZA HANA ADABU NA ANAONEKANA ALIKUWA ANAUTAKA URASI KWA NGUVU APOTELEEE HUKO HATUNA SHIDA YA KUMSIKILIZA HUYO CHIZIII

    ReplyDelete
  5. yani apa duniani kuna watu wanafiki mpaka basi
    membe kipindi rais magufuli anafuta safari za njee alimpongeza sana tena alisema viongozi walikuwa wanapishana angani utafikiri hawana kwao
    leo anakuja kumkosoa eti anafanya vibaya kufuta safari za njee
    kakosa uwaziri basi shida tupu coz anajua angekuwa waziri wa mambo ya njee basi 2025 atakuja kuwa rais wa Tanzania
    JPJM Mungu akupe nguvu dhidi ya maadui zako manake unao wengi tena uko uko ccm

    ReplyDelete
  6. kikwete aliwapa mianya ya kula viongozi wa serikali mlikuwa mnajishibia tuu kodi za maskini
    sasa JPJM kafuta hiyo kula yenu ya hvyo hvyo
    kazi kupeleka pesa kwa vimada mkome sasa

    ReplyDelete
  7. Hakuna aliyekuziba mdomo Membe we kama kuna kitu cha kumweleza raisi we powaa eleza na kosoa alekebike!

    ReplyDelete
  8. nchi yetu ina matatazo makubwa ya kisiasa. ni nyinyi CCM chanzo kikubwa ni nyinyi ccm kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu octoba 2015.mmeiba bara mkayapindua matokeo halali,kule visiwani mlishindwa kuiba kutokana na mwamko na mtandao kamilifu wa wana cuf-ukawa na wananchi walio wengi.mlichofanya mkamtumia jecha wa zec peke yake,narudia peke yake atangaze kihuni-huni 'kuyafuta matokeo'.ushindi wa wazi kabisa ulikua wa seif shariff hamad wa cuf-ukawa aliyempiku dr.shein kwa kura zaidi ya 25,000.hili ni la milele halifutiki kamwe.mheshimiwa membe ameeleza ukweli wake kwamba ccm zanzibar inatia kichefu-chefu.mlitaka asemaje nyinyi wanafiki,wahuni,vibaka wasiasa na mazuzu wakubwa wa ccm.ati mnachachamaa.huo ni urongo wanafiki wakubwa,bwieni unga wa bada kwani ni dawa ya kujidhibiti na jazba za kishetani.membe ni shujaa,ni mkweli,hajali wahuni.ahame ccm aende wapi?yeye ni ccm damu,anayakosoa tunayoyakosoa wote,hayupo peke yake,msimtishie nyau,pimbi-kijiwe nyinyi wooote mliomkosoa,HAMNAZO MAJUHA.

    ReplyDelete
  9. WEWE MEMBE NI FALA TU, UNAFIKIRI NINI ITAKUSAIDIA UKIANZA MALAWAMA

    KAMA MSRNGE MZEE, WAKATI WAKO UMEKWISHA PUMZIKA ,LONDON,AMTERDAM,NEWYORK,SWEDEN,DENMARK,NORWAY,USHAFIKA SASA UNATAKA NINI?`SASA ANZA ZIARA YA MIKOANI HUKO KWENU LINDI WANAKUMISS RUDI UKASALIE MIZIMU TENA UJARIBU TENA 2025. AU JIUNGE NA UKAWA.

    SHANE ON YOU KAZI MNAKULA BATA TU MPAKA WATU WANAONA WIVU HALAFU BADO HUWEZI KUKUBALI, MIAKA KUMI IMETOSHA KAZI ZENU ILIKUWA KUTEMBEA NA VIMADA TU ,NA UFUSKA ULIOKUFURU,UNAFIKIRI NANI ASIEJUA SIRI ZENU`? MUACHE MAGUFULI AFANYE KAZI AMBAZO ZITAWAOKOA WATANZANIA WENGI WALIOKUWA NA KIU AT LEASTWATOTO WAO WAFIKE DARASA LA SABA. DADA YANGU AMEFAIKI MUHIMBILI HAKUNA DAWA HATA PANADOL ,WALA DRIP WTER, NINYI KILA SIKU KWENDA TIBIWA MAREKANI SHAME ON YOU AND YOUR MOB

    ReplyDelete

Top Post Ad