Kufutwa Kwa Matokeo Zanzibar: Makamba Amsafisha Jecha Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

January Makamba
Waziri wa Mazingira na Muungano, January Makamba amesema kuwa Tangazo la Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar lilitolewa na Tume ya Uchaguzi visiwani humo lilikuwa halali na kwa mujibu wa sheria.

Makamba amesema kwenye kikao cha tume cha tarehe 21 January cha kuamua kutangazwa kuamua kurudiwa kwa uchaguzi, akidi ilitimia na wengi walikubaliana na uamuzi ule. Kwa hiyo uamuzi ni halali kisheria na kikatiba na katiba ya Zanzibar inasema hakuna mwenye mamlaka hata mahakama ya kuhoji au kuchunguza maamuzi yanayotolewa na tume kuhusu uchaguzi.

Amesema hayo Bungeni wakati akitoa ufafanuzi Bungeni kuhusu Mkwamo wa Kisiasa unaoendelea Visiwani Zanzibar.

Mtazame Hapa;

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ccm wasenge Kweli

    ReplyDelete
  2. Sana tu. Kusafishana kila kisu. Bado tu kuanza kuchambishana matako!!! Inekuwa kama mizezeta fulani isiyokubali kushindwa wala kuambiwa ukweli. Fuck them all!!!!!

    ReplyDelete
  3. Ya Zanzibar tuachie wenyewe wanzanzibar
    Samia , Magufuli wote wameufyata
    Wewe kinda nenda Lushoto
    Zanzibar unaijuwa wewe

    ReplyDelete
  4. inamaana hili jungu la kurejewa kwa uchaguzi limepikwa BARA? lengo ni kutuangamiza wanzanzibar na majeshi yenu pamoja na makaidi wenu seif iddi? yaliyompata rais wa 1995 kutopata hata jicho la kichina subirini Allah yupo na yeye ndiye tegemeo letu sie nyie.

    ReplyDelete
  5. shukran magufuli kwa kuufyata kimya mgogoro wa zanzibar na waziri wako kumsafisha jecha kwa harama aliyoifanya wache wale dhulma kikawaida dhulma haiondoki tupu inshallah.

    ReplyDelete
  6. Dua la CUF halimpati CCM,ahsnte mungu kwani naanza kuona nafasi ya umakamu wa kwanza wa rais wa ZNZ unanukia kwangu.Amakweli kufa kufaana na ukisusa wenzako twala!

    ReplyDelete
  7. kula kwa matonge hapo utakapozipa pumzi ndio utajua dhulma ni nzuri au mbaya mfano wa firauni alitakabar na kuona hata Mungu kuwa yeye mbona mwisho wa siku alishahadia na kukubali kama Mungu yupo, Rashid Mamba alinyanyua mikono na kukufuru mbona alioza kiungo kimoja kimoja na wengineo ila tunachoamini Mungu yupo na dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi abadani endeleeni kwa mapana NI DUNIANI TU HAPA!

    ReplyDelete

Top Post Ad