Mama Kaniletea Mke Kutoka Kijijini Bila Ridhaa Yangu, Nifanyeje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Wadau mwishoni mwa December mama alikuja hapa dar na mgeni, walifikia kwangu, mgeni mwenyewe ni binti wa kama miaka 20 hivi, nilishangaa maana mama akija Dar hufikia kwa mkubwa wangu, kaka, mimi huenda kumuona huko

Cha kushangaza safari hii, mama akafikia kwangu pamoja na huyo mgeni wake, nilipomuuliza kuhusu huyo binti mama akadai wana mambo yao yaliyowaleta, after some days mama akaaga anaenda kuwasalimia familia ya kaka yangu atakaa siku kadhaa, ila atamuacha binti hapa kwangu kwa siku tatu nne

Nilipoachwa nae binti, roho ya shetani ikatamalaki, nikamrubuni yule binti hatimaye tukashiriki ile dhambi pamoja bila kujua ni mtego eti kumbe mama kamuacha kama mke wangu, nikamuhamishia chumbani kwangu ili nimfaidi sana pindi mama akija kumchukua niwe mwepesi

Kuja kustuka ni wiki mbili zimeisha tangu binti kuhamia room kwangu na tangu mama aende kwa kaka kimara, mm naishi kigamboni, kukawa na kila dalili Girlfriend wangu atakuja siku moja kumkuta binti hapa halaf iwe shida, nikaona nipige simu kwa kaka kuuliza mama anakuja kumchukua huyu binti lini, kaka alishangaa mno, akasema mbona mama alishaondoka wiki nzima nyuma kurudi village na kwamba huyo binti ni mke wako amekuletea na wewe umekubali na amewaacha kwa furaha, nikachanganyikiwa
Kumbe ndio maana simu ya mama haikupatikana kwa wiki mbili

Wadau nimechanganyikiwa, sasa jana nimempata mama hewani ananiambia huyu ndio mke wangu, ana tabia nzuri, kuwa ni mtoto wa flani wanamjua tangu kuzaliwa, kwamba hata baba karidhia na ndie aliewasafirisha, kwamba wamenivumilia muda mrefu nipo nipo tu hivyo waniletee mke

Naombeni msaada

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kubali yaishe awe mke hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Wewe fala nini unauliza k ya mbuzi wakati umeshika mkia?mpige bao huyo kuku wa kienyeji.

    ReplyDelete
  3. Kwa udogo gn Hana girl friend umri huo mambo ya mbuzi kwenye kiloba ya miaka ileeeee

    ReplyDelete
  4. We ni mchafuzi!!! wazazi wako walikujua ndio maana wakakuletea huyo binti uishi nae walijua utaingia line haraka!! oa kabisa kwani hao wa mjini wana nini zaidi ya kukufanyia limbwata umuone bora akuchune apeleke kwa mama yake!! muoe huyo ndio anayekufaa.

    ReplyDelete
  5. alikuona msenge kuficha aibu kakuletea mke

    ReplyDelete
  6. pumbavu sana, wakati unamuahamishia chumbani kwako ulimwamishia kama nani wako? unaonekana hata subira una kila ukionacho, fasta

    ReplyDelete
  7. Angalau ungekua chini ya twenty's unagonga fifty sura imekomaa kabisa unataka kudanganya wengi au unamatatizo mengine

    ReplyDelete
  8. Good morning,

    angekuwa dada yako ndo kafayiwa hivyo ugefanya je? yani unasema ulimulibuni kusudi umlale tu halafu umuache njiyani.

    ReplyDelete

Top Post Ad