Mtukaneni tu Tiffah Lakini Siku Moja Atakuja Kuwa Rais Wenu – Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu hawana haya – Kwa mujibu wa Zari the Bosslady, baadhi yao wamekuwa wakimporomoshea matusi mtoto wake aliyezaa na Diamond, Tiffah tangu alipozaliwa.

Lakini Zari ana habari kwa haters! Mrembo huyo wa Uganda anaamini kuwa siku moja watamheshimu mtoto wake sababu anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia!

“Matusi from day one even before she was born,” ameandika Zari kwenye Instagram.

“But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making #IronLady #EllenJohnsonSirleaf #Kichuna @princess_tiffah.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. presdent in making??my foot mama yake ellen johnson hana video anatombwa online,in today life you hav to be 98%carefull online things stay forever aibu will always be there tifa ataona hata raia wapiga kura wa miaka hiyo wataona so shees ready disqualified preapare her to own stripper club not our presdent you bitch

    ReplyDelete
  2. I agree with u may be from tandale behavior

    ReplyDelete
  3. Oops urais ufalme
    Domo nawe unapayuka sana
    Kuna wakati ushatamba ubabe nyimbo 300 bado kurekodi
    Ooh kama nigepelekwa nigekuwa waziri flyuuuuuu waziri atoke Tandale
    Lakini si kosa lako kosa Msoga

    ReplyDelete
  4. anajistukia Zari, aseme Tifaa wa nani ndo kiu ya watu.

    ReplyDelete
  5. Dai na bi kizee wanatafuta umaarufu kwanguvu, huyo mtoto hakuna mtu anaemtukana ila watu wanataka baba halali, waache ujinga.

    ReplyDelete
  6. dunia nzima wamezaa wao? lol hakuna mvuto tena wanahaha tuu.

    ReplyDelete
  7. kweli lakini sura ya Tifaa kama shimo la choo cha Tandale.

    ReplyDelete
  8. Wewe hapo juu uwe mwanaume au mwanamke weww ni mjinga wa mwisho kabisa unawezaje kumtukana huyu mtoto kakukosea nini ulishawahi kuzaa ukaona uchungu wa mwana wewe au unaropoka tu shenzi kabisa wewe weka picha yako tukuone unavyofanana wewe mlevi wa mataputapu wewe unaongea kama umebanwa mavi kanye huko mjinga wa mwishoooo wewe mauti inakusubiri ukachomwe moto stupid ass.

    ReplyDelete
  9. stupid ass Mama yako alokutoa nyuma hanithi huna faida duniani wala akhera. Tifaa anasura kama remmi ongara ops! Kama choo cha soko la Kwamtogole upo Anony 8.49 PM.

    ReplyDelete

Top Post Ad