Shilole Amtaja Mpenzi wake Mpya Mwanamuziki Kutoka Uganda, Adai ‘’Nuh Hanipendi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.


‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.

‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana,’’Alisema Shilole.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nenda akupinde alafu akutose chezea uganda weye!

    ReplyDelete
  2. Mmmh!just like that? Haya, movie mpya imeanza. Ni kujiandaa na packet ya popcorn na mug ya coke.

    ReplyDelete
  3. Hiyo contract yenu itachukua muda gani maana hii generation yenu kkuhusu mahusiano imekuwa ni banduka mwingine aje akae haswa nyinyi mastaa wa plastiki

    ReplyDelete
  4. Utatembeza dunia nzima
    Kwetu Tanga tunasema
    Zote zafanana

    ReplyDelete
  5. akapime ukimwi kwanza maana hata maharage ya mbea huchelewa kuiva.

    ReplyDelete
  6. shue muhimu sana jamani

    ReplyDelete
  7. Anapenda watoto huyo du hajion kama kakua

    ReplyDelete
  8. Dah busy but nothing dem

    ReplyDelete
  9. Siyo kila anayekwambia I love u it's really love no fanya kz kijana

    ReplyDelete
  10. Offcourse, dada wewe ni mtu mzima na una haki ya kuchagua uanachokiona kinakufaa, ila kuwa macho na hao watu,naona bora kuwa na Mtanzania mwenzako tena wa kawaida mnaweza kuishi na kupanga maisha yenu mkiwa hapanyumbani, lakini hali ya kutangatanga inawza kupoteza muelekeo wako wa baadae. Kumbuka yaliomkuta marehemu AISHA MADINDA, tusiwe wepesi wa kusahau haya yanaweza kukuta mdada. WATCH OUT DEAR. ALUTA CONTINUA.

    ReplyDelete
  11. yaani ni kata mti panda mti!! mnaachana muda huo huo unamtambulisha mpenzi mwingine! Ina maana wakati uko na Nuh nahuyo ulikuwa unaendelea naye kisiri!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad