Huyu Ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi .....Kazi Kwenu Majangili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pichani ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa kero kwa nchi hii.

Ikumbukwe kuwa kuna wakati Tanzania ilifikia kuwa kinara cha matukio ya ujangili kiasi cha Serikali ya Awamu ya Nne kuanzisha Operesheni Tokomeza ambayo nayo haikuisha vizuri.

Maliasili ya Tanzania ikitunzwa vizuri inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato kwa nchi ambayo yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi kupitia utalii.

Tunakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya Meja Jenerali Gaudence Milanzi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo magufuli umecheza kama ronado lazima Mali zetu zilindwe na jeshi hao majangiri na maharamia wataipataa

    ReplyDelete
  2. SASA HESHIMA INARUDI TANZANIA.JEMEDARI MILLANZI KUWA MTENDAJI MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTAILETEA TANZANIA HESHIMA NA PIA MAFANIKIO MAKUBWA YA HIFADHI YA WANYAMA PORI WETU.MILLANZI ATABUNI NA KUIMARISHA SANA ELIMU-MKAKATI NA MAFUNZO YA KISASA YA ASKARI WANYAMAPORI WETU,ATAWAMWAGIA NYENZO ZA KUFANYIA KAZI KAMA SILAHA NA MAGARI,ATABUNI MBINU ZA KUWANASA MAJANGILI KABLA HATA YA KUFANYA UHALIFU WAO.NI USHINDI WA NCHI NA WANANCHI.

    ReplyDelete
  3. Duh!hapo mkuu umepotea step kinoma hao wanajeshi wa bongo hilo ndio lilikuwa deal lao kuuwa wanyama kinyemela sasa yupo mkuu wao kama msimamizi yaani sasa kama unamsukuma mlevi kwenye ua wa makuti mtakuja kushtukia wamebakia nguchiro tu porini but the time will tell

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahahah! Duh! Wapinzani hamkosi point!! HAPA KUPINGA TU!! hahahhaha

      Delete

Top Post Ad