Sikiliza Hapa Nyimbo Mpya ya Diamond Platnumz Inayosemekana Imevuja.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani huyu Diamond sasa ana sifa,tena hizi sifaa zimepitiliza!

Kuna nyimbo ake hapa naisikiliza inaitwa HELLOW jamaniiii nyimbo nzuri ,inachezekaa kila kitu poa 

Ni kama kamuimbia Wema Sepetu kwa haraka haraka!

Isikilize Hapa na Utoe Maoni yako:


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maneno ndo yaleyale kila nyimbo. Wema bado anamtia wazimu

    ReplyDelete
  2. kashajua Wema anamimba kaanza kuhaha.

    ReplyDelete
  3. nyimbo ndo zilezile bado anaumia kila kukicha kwa maa x wake

    ReplyDelete
  4. Yatasemwa yote lkn ukweli utabaki kuwa Dimond ni fundi asiyekuwa na mpinzani Bongo

    ReplyDelete
  5. Diamond anajua majungu tupa Kule

    ReplyDelete
  6. Yaani bora umevuja he needs to.change it vyombo viko juu mno, alafu sauti zilezile he needs time off kwenye kutoa nyimbo they are too boring now ,

    ReplyDelete
  7. hakuna cha majungu wala nn, kila nyimbo ni mafumbo ya maa x. halafu zinafanana. borring

    ReplyDelete
  8. kila nyimbo dizain ya kutaja watu tuu? safari hii kamtaja Shani mama yake romy. abadilike sasa anachosha.

    ReplyDelete
  9. kweli kiki zinakaribia kwisha anachanganya maneno na midundo No mvuto

    ReplyDelete
  10. Bigiribigiri..bigiribigiri baiyoyo....the song is soo goood,ila beats kama za Aiyola vile.

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli sijapata kuona mwanamuziki boring kama huyu....kila siku kulalamika lalamika tu kwenye nyimbo zake...mara sijui Wema kaniacha...mara sijui Jokate hajanizalia mtoto.........mara oohhh Pam katoa mimba zangu na sasa silali wala sisinzii huyu ni mwanamuziki gani jamani.....abadilike ama apumzike tujue moja mamayeeeeeeeeee................

    ReplyDelete
  12. PIGA KAZI DIAMOND MANENO YALIKUWEPO, YAPO NA YATAENDELEA KUWEPO. DON`T WORRY

    ReplyDelete
  13. Sichoki kuiskiliza hii ngoma! Ni tamu aiseee!

    ReplyDelete
  14. Go go diamond endelea kupiga mzigo ngoma hii kiboko watasema sana na wengi wao ni haters but know that you are a big hit. Lov love love it brother keep killing.

    ReplyDelete
  15. asiambiwe nn eti haters kajambe huko, ataangaika sana na maa x wake. mbona hamtaji bi kizee wake alompachika mtoto wa Katunzi? alau eti DNA imetoka hahaaaaaa.

    ReplyDelete
  16. Enter your comment...Nyimbo imekaa byeee m2ngien mistali bas kama ana boa hovyooo

    ReplyDelete
  17. Boring boring tulia sasa jipe muda ,fanya show tengeneza pesa alafu ndo utoe wimbo huu utakushushia kiki

    ReplyDelete
  18. Jamani kila kukicha kumponda kijana wa watu : anatafuta maisha muacheni kipaji chake ni nyimbo za staili hii inamsaidia yeye na familia yake! Hayo majina katika nyimbo yalianza zamani tangu enzi ziko za akina mwanameka , hidaya nk hizo pia ni nyimbo. Tukikaa kukosoana hatutafika kokote kule mwacheni afanye nyimbo hizo ilimrad inamuingizia kipato

    ReplyDelete
  19. Vyombo viko juu sana harafu jarubu kubaditisha Aina ya uimbaji tumesha kuchoka na hizo story zako za dem zako

    ReplyDelete
  20. Mchemsho tunahitaji mpya ya kushtuwa hii mmh ile ya utanipenda pia hakuna kipya maisha ni kupanda na kushuka, kuna wengi walipanda na wameshuka na wake zao wanao, inabidi tujue maisha jinsi yalivyo hakuna kipya duniani, malkia anaweza kuolewa na muuza duka, na prince anaweza kuoa mfanyakazi bank n.k tuna taka mpya ya kushtua ambaya iko normal,

    ReplyDelete
  21. hakuna lolote nyimbo ya kitoto saana hana flvour

    ReplyDelete
  22. Na kubanaga sauti ndio nini sauti yk ile ya nyimbo ya mbagala ndio sauti ya kiume Na make up upake ya rangi yako usiwe juu mweupe mukono sawa Na tattoos zk sorry for that

    ReplyDelete
  23. Jamani mkosoeni halafu mpeni big up sio mnammaliza km hajawahi kufanya jema atazimia bure

    ReplyDelete
  24. Haters bana..kashida mno..dogo yuko vizuri na wakati uko busy kumnanga ye hana time kabisa koz hata hakujui..anamek paper tu Rais wa BF..#get a life haters.

    ReplyDelete

Top Post Ad