Tazama Hapa Video Nzima ya Wema Sepetu na Idriss Walivyohojiwa na Diva Clouds FM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Idriss na Wema Sepetu
Couple ya ‘Wedris’ ilipata nafasi ya kuhojiwa exclusive na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kwenye kipindi cha Ala Za Roho usiku wa Alhamisi (Jan 28), ambapo kila mmoja alifunguka mambo mengi kuhusu toka walipokutana na kuanza kupendana, kuhusu wema alivyogundua kuwa ameshika ujauzito wa Idris na mambo mengine.

Kama hukupata bahati ya kusikiliza tazama hapa sehemu ya mahojiano hayo walipokuwa studio za Clouds Fm.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bado sijaelewa sasa mgumba ni mond au wema?

    ReplyDelete
  2. Ndio maana wameitwa wasanii

    ReplyDelete
  3. Sasa twataka kukua Una maendeleo gani miss sepetu unataka kutoa movie au kufungua duka tuje kukupa support achana Na mambo ya nakupenda kula saa Na idrisa tayari kishaeleweka piga kazi

    ReplyDelete
  4. nina mashaka wanaume wengi sana hasa hawa wa siku hizi hawana kokwa za uzazi ni maji tu ndo yamewajaa pumbuni

    ReplyDelete
  5. Wacha movie iendelee twangoja part 2. ILA kama Kuna sehemu umedanginyi, umesema hujawai kusafishwa, unakumbuka wewe wewe ulishawahi kuweka kwa media ulisafisha mimba ya kanumba, au umesahau. Anyway it doesn't matter cha msingi tunakuombeA kila la kheri uje kuwa mama bora.

    ReplyDelete
  6. Mbona ulisema mimba Ina more than 4 months sasa tena imekuwa 11weeks vipi tena

    ReplyDelete
  7. Maelezo hayo ni so private. Wote wawili wana utoto mwingi.

    Wana mengi ya kujifunza even how to conduct themselves in public. Yaani Wema anavyoongea.. its so childish ...eti nitakuua wewe... baby baby. Inakerakera fulani hivi.

    Anyway hongera kwa uja uzito and both of you please be discreet on some private info.

    ReplyDelete
  8. hao hawajielewi bado wakiulizwa kesho wataongea mengine, waacheni na mambo yako, hawajui hata umri wa mimba wala imeingia lini.. kama kweli ipo. ni usanii tu.

    ReplyDelete
  9. Anonymous jan 31 2016 11:32am
    Umeongea la maana yaani both of them hawajielewi kama watoto vile hawajui hata kukipu mambo yao private yaani ka wema ndiyo kabisa anaongea kila kitu kama kajinga flani yaani kwanza mimba ni changa sana kuanzia kuiongelea pia inaonekana huyo ldrisa hakuwa tayari kama vile wema alimtegeshea hiyo mimba kwani amesema mwenyewe jinsi alivyofanya.Huyu binti anaongeaga mambo yake adharini.like no brain Kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwenzio anajivunia kuwa kidume kuliko dai we unasema alimtegeshea!we nawe una yako moyoni kaa mchawi!

      Delete
    2. No brain indeed. Hii ndio mimba itakayohitaji DNA huko mbele.

      Delete

Top Post Ad