Ujauzito wa Wema Sepetu Wambadilisha Tabia..Sasa Marafiki zake ni Watoto na Wamama Wenye Watoto Wachanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu Akiwa na Mtoto 
Habari ya mjini kwa sasa ni ujauzito wa Wema Isaac Sepetu ambapo inadaiwa kuwa ameanza mazoezi ya kumlea mtoto wake mtarajiwa.

Kwa mujibu wa shosti wake wa karibu, kwa sasa Wema ameongeza urafiki kwa akina mama wenye watoto wachanga ili kuchukua ‘maujuzi’ ya namna ya kuwa mama bora kwa mwanaye mtarajiwa.

Yaani ukitaka kujua Madam yupo bize na mazoezi ya kulea, kila tunapokwenda akimuona mama aliyemzoea mwenye mtoto basi ataomba ambebe mtoto acheze naye au hata amlishe.

Kweli Wema anapenda watoto lakini sasa hivi imekuwa too much (imepitiliza). Hata ukifuatilia kwenye akaunti zake kwenye mitandao ya kijamii utaona sasa hivi yupo bize kutupia picha akiwa amebeba watoto,” alisema shosti huyo wa karibu wa Wema na kuongeza:

Kiukweli bidada (Wema) yupo kwenye mazoezi makali ili awe mama bora kwa mwanaye mtarajiwa kwani alitamani kuwa na mtoto kwa muda mrefu.”

Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti lilimtafuta Wema ili kujua anaendeleaje na mazoezi ya kulea mwanaye mtarajiwa lakini simu yake iliita bila kupokelewa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimba my a**!!Angekuwa Na mimba dunia yote ingejua. Drama queen!!!!

    ReplyDelete
  2. Hujafa hujaumbika usimuuzi Mungu wewe Anonymous 10:36

    ReplyDelete
  3. We anonymous 12:05 mi sijamuudhi Mungu. Wema anatakiwa ndo amemuudhi mola. Alisema alitoa mimba ya kanumba. Huyu dada Ni muuaji Na alikiri hadharani jamani. Mi sio Mungu wa kuhukumu. Lkn wema amezidi Kama hana wazazi. Anatutia aibu wanawake wenzie.

    ReplyDelete
  4. wewe muache mwenzio azae kwa kua tu hatukujui lamda ushatoa hata tano wewe, Mungu hamtupi mja wake humpa wakati atakao ndokampa sasa kwa hyo wewe tulia muombee mwenzio sio unamkkaraisha ule ulikua usichana unamsumbua wewe nani anajua usichana wako shame on you

    ReplyDelete
  5. lakini alitoa mimba.!!!

    ReplyDelete
  6. Haijalishi atakama katoa kumi kimpango wake sasa wakati umefika wa yy kuitwa mama

    ReplyDelete

Top Post Ad