HATIMAYE Nuhu Mziwanda Akiri Tattoo ya Shilole Mwilini Mwake Yamtesa..Lakini Hata ifuta Mpaka Kieleweke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nuhu Mziwanda na Shilole
Baada ya Shilole Kutamka wazi wazi kuwa hamtaki tena Nuhu Mziwanda kimapenzi na haoni faida yoyote ya kuwa na Nuh Mziwanda, Nuhu Amesikitika Sana na Kauli hiyo kiasi kwamba kila akiangalia Tattoo ya Shilole Mwilini mwaka anaumia roho lakini amesema hawezi kuifuta mpaka atakapopata mbadala wa Shilole

 “Ni kweli ila hii tatuu nitaifuta nitakapompata wa kuziba pengo la Shilole.” Nuhu Mziwanda
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. U mariooo mbaya tafuta kazi ya kufanya unaona unavyodhalilishwa

    ReplyDelete
  2. Pumbavu!umesahau,wee si ulisema hutaifuta tatoo na kwamba utaenda nayo hata kaburini?ulijua shilole utakuwa nae milele?bwege wewe,kashfa zote mara kupigwa kutukanwa ukajitia ndio raha na mapenzi toka kwa bibie,sasa je?chizi kwelikweli wewe unatia kichefuchefu.

    ReplyDelete
  3. Hawa nao watu wenyewe wachafu wachafu hata hawana mvuto ujinga ujinga tu

    ReplyDelete
  4. Jinga sana wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad