AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kiba aliyasema hayo kwenye kipindi cha Playlist cha Times Fm alipotakiwa kuchagua wimbo wa kusikiliza ndipo alipouchangua wimbo huo na kutoa sababu hizo.
“napenda sana track hii jinsi ilivyo prodyuziwa kwa sababu sound naiskia vizuri sana kiukweli japokuwa ameimba lakini naweza kusema ameimba sio ile ki mature zaidi (kikomavu) ,ameimba ki teenage fulani..I wish ningeipata mimi” alisema Kiba.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Nyimbo zako za Kiswahili zinakushinda msonyo
ReplyDeleteWapeni sifa wasanii.vipaji vyao hamnavyo.wacheni chuki na roho mbaya.
Deletemnh kwani mtu hana haki ya kusema anachojickia NA ANACHOPENDA imba ww bac km unaweza waswahili choyo hakina faida ukiambiwa uigilize wimbo unakushinda ckwambii kutunga uimbe hata umgaie mtu cd bure hauckilizi kiba amesema anachopenda chuki hazijengi
ReplyDelete