Baada ya Kimya cha Siku Kadhaa Wema Sepetu na Idriss Sultan Waja na Mpya...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Idris Sultan na mpenzi wake Wema Sepetu wanakuja na reality TV show ambayo itakuwa inazungumzia maisha yao.

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Idris alisema ameamua kuungana na mpenzi wake Wema ili kuandaa project mbalimbali ambazo zitakuwa zinawaingizia pesa.

“Unajua mkiwa katika mahusiano halafu wote ni celebrity lazima angalau mfanye kazi mbili tatu ambazo zitawaingizia pesa,” alisema Idris.

“Zipo project nyingi lakini tunaanza na reality show. Hii ni nyingine na mpya na itakuwa inazungumzia matukio mbalimbali ya maisha yetu,” aliongeza Idris

Source:Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. At least umefikiria kufanya kz sio kwenye mito Na media tuu

    ReplyDelete
  2. love u wema you look stunning together wooww

    ReplyDelete
  3. anafanya kazi tangu zamani labda ulikuwa hujui.

    ReplyDelete
  4. Wema mimba iko wapi huishi vituko inshallah tunakuombea uweze kufanya hiyo project.

    ReplyDelete

Top Post Ad