Breaking News: Waziri wa Elimu Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Bodi Ya Mikopo Kwa Utendaji Mbovu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amemfuta  kazi  Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wakurugenzi wengine wa nne kutokana na utendaji mbovu katika kuendesha bodi hiyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni wafanyakazi WA serikalini Chonde Chonde chukueni ustaafu kwa manufaa ya umma au ugonjwa wengi wenu mmefanya kazi miaka mingi Na kwa taratibu zilizikuwepo
    Au mazoea ya vimemo au simu au SMS
    Hii kasi mpya si sidhani mtaiweza. Waacheni wachaguwe watu wao maisha hayo serikalini au mashirikani
    Haangiliii kichwani umefanya kazi kupita umri WA waziri eti akufukuze kazi
    Umepita awamu zote za urais ukiwa kazini
    Staafuuuni waachieni Na tumbua majipu Yao
    Sikatai yapo majipu lakini si yote wengine tunafanya kazi kufuata maagizo ya wakubwa Kama tulivyozoea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole,inaonekana yamekukuta.
      Kwa taarifa yako tu hakuna mtu anasimamishwa kazi bila kujidhirisha.Na pia haingii akilini eti mtu ana miliki ghorofa 4 mjini,magari 6 huku kafanya kazi miaka 13 tu eti kisa ni mtu wa mikopo,mbona wengine wako hapo hawajawa na mali hivyo?Msikurupuke,wacha tu wafukuzwe wako wengi waadilifu wanataka ajira.

      Delete
    2. WEE NAE SIJUI UMEKUNYWA MAJI YA MTARONI,KWANI HATA VIMEMO KUNA MGAO HUWA SIO BURE KWA HIYO WAWAJIBISHWE TU.TUTANYOOKA TU.

      Delete
    3. Hata akistaafu kama kafanya kosa kabla ya kustaafu
      ni muhujumu uchumi na sheria itachukua mkondo wake.

      Delete
    4. Sina maana walifanya kazi juzi Kuma wewe Na wasenge wengine
      Soma vizuri nilivyoaandika
      Awamu tano waandishi ndo mol huuuuu
      Kufa kufaana kila kiongozi andikeni mtaandaoni
      Magufuli unaendesha serikali kwa taarifa kwa kufany kazi mtaandaoni

      Delete
  2. Ndalichako Hongera kama Kweli waaliba

    ReplyDelete
  3. mwaka wa tumbua tumbua tu!!! wataisoma namba!

    ReplyDelete
  4. Mtajiju miaka Miwili nyumba tatu za kutisha,usafiri wenye akili sasa time imefika lazima watambue Jembe linapita Na halimfichi mtu Serikslini wote mkae mkao WA kula

    ReplyDelete
  5. Nilikuwa nalisubiri hili sana,na usingemtumbua ningesema wewe Ndalichako ndio utumbuliwe.

    ReplyDelete

Top Post Ad