Baba Yake Diamond Adai Wema Ndiye Mwanamke Pekee Aliyetambulishwa Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba wa staa wa muziki Diamond Platnumz, Abdul Juma amedai Wema Sepetu ndiye mwanamke pekee ambaye mwanae Diamond aliweza kumtambulisha kwake kama mpenzi wake.

Akizungumza katika kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV, Mzee Abdul alidai Diamond alimtambulisha Wema kwake pamoja na kumvalisha pete.

“Yaani Diamond toka akiwa na Wema ndio alikuja hapa kumvalisha pete Wema,” alisema Mzee Abdul.

“Unajua toka nizaliwe sijawai kuona mwanamke mwenye heshima zake kama Wema. Nimewai kuletewa mwanamke mmoja tu toka (Diamond) anakuwa,”. Alisema

Aliongeza, “Only one hana umalaya huo. Kwa sababu mimi Diamond namwamini kitu kimoja, muda wakutembelea kwenye madisko hana. Yeye ni mtu wa kukaa nyumbani na kufikiria anafanya nini kwa sababu mwenyewe anajiona yupo kwenye ushindani, bila kujiandaa kwa ajili ya kazi zijazo ‘atarostika’. Kwahiyo mimi nasema big up akaze buti,”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. he! sasa aliemzalia mtoto hakutambulishwa?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Kwa Hilo namuunga mkono Wema anatabia Na khulka za kitanzania Na anajua jinsi ya kujipwndekeza Ukweni Na tabia za mwanamke WA kiafrika lkn imeshatoka msubiri bi zari atakunywesha Uji,atakupeleka hospital ukiumwa usikate tamaa

    ReplyDelete
  4. raphael gadau we mbona unavaa pedi jinsi wanaume wenzako walivyo kuharibu., si afadhali huyo wema kuliko wewe na zari mnafeki mpaka makalio.

    ReplyDelete
  5. Ukistaajabu ya musa basi utaona ya firauni

    ReplyDelete

Top Post Ad