File la Mpenzi Mpya wa Nuhu Mziwanda Lawekwa Wazi...Mwenyewe Acharuka na Kusema Haya...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huku Instagram Mambo ni moto..Watu washafukua file ya demu mpya wa Nuhu Mziwanda na kuliweka hazarani....Demu aja juu na kuwajibu waliofukua file....

baby_ake
 Jina kamili anaitwa Zuhura abdul Sabil ,Huyo msichana kwanza kwao rujewa mbeya mama ake alikuwa diwani wa rjw, ni mke wa mtu mumewe anaitwa naseeb huko Oman alienda kumsimamia mumewe biashara yake, Alishawah kutaka kuolewa na mwarab mmoja wa Iringa yule baba baada ya kupata story yake siku ya harus hakutokea bibie huyo akalazwa hospitali!!!! Ashatembea na abdukiba, Sam wa ukweli , beka na wasanii kibao mpka tino Wa bongo move kapiga ni mtanzania Pure kabisaaaa kazaliwa rujewa mbeya, kasoma shule inaitwa St Anna na secondary kasoma usangu sec mpaka form two na hakuendele kwao wamezaliwa watatu Kakaake anafanyaga mazingaombwe anaitwa Dr Sabil ukimsearch YouTube utampaka, sasa point YANGU ni kwamba nuh bdo unasafari ndefuuu ya kutafuta demu mwingine au ndio unalipiza kisasi kwa shishi ila mke Wa mtu sumu oooh utatolewa busha tutashangaa nuh anatembea na msuri kumbe watu washafanya vyao

Majibu ya demu wa Nuhu Mziwanda haya hapa....

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hafanani na hayo matusi,duh

    ReplyDelete
  2. shemeji kujiremba unajiremba lakini unapitiliza unakuwa kama mdoli wakati we ni mnyalukolo.

    ReplyDelete
  3. Daah! Siku zote wanawake hatujithamini. Matusi yote ya nini au angeongea kwa busara wasingemwelewa?

    ReplyDelete

Top Post Ad