January Makamba: Bila Magufuli CCM ilikuwa Imekataliwa na Wananchi Uchaguzi 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea na kituo cha Taifa cha Utangazaji(TBC),Mbunge wa Bumbuli na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Ndugu January Makamba,amesema katika uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa inaondoka madarakani kwa nguvu ya wananchi,lkn kwa uchaguzi wao wa kumchagua ndugu JPM kidogo imani ya wananchi ikarudi kwa Chama Cha Mapinduzi.

Makamba Jnr anasema CCM ilipoteza imani na kutoaminiwa na wananchi kwa kiasi kikubwa sana kiasi cha wao kuona dalili la wazi la kuanguka kwa CCM.Anasema uchaguzi wa 2015 ulikuwa ni moja ya chaguzi ngumu kuwahi kutokea na wana imani kwa utendaji huu wa JPM wananchi watarudisha imani kwa CCM na Serikali yake na kuepuka kuwaadhibu ktk sanduku la kura mwaka 2020.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mm/mmmmmmmh mmmmh

    ReplyDelete
  2. na uhakika ata angekua membe kapita akakuteua ww huwezi sema tofauti ivo uko sahihi

    ReplyDelete
  3. Wameiba tu ndo akapita

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna wizi ndugu,Mungu akisema ndio hata ukiiba utaumbuka tu,Hapo ni Mungu mwenyezi ndio alipinduapindua na kumuwezesha kushinda kwa kuona bora JPM kuliko ENL.

      Delete
  4. Tulisema Kikwete kalamba turufu kama si Magufuli niukweli usiopingika 200% CCM Kikwete kingemfia mikononi mwake hata Lowassa usingeweza kushinda uchaguzi huu kupitia CCM ndo ingekuwa kabisa bye bye kwani kila kukicha wapinzani walijua na kuota kuwa Lowassa hana mpinzani CCM lazima atagombea uraisi na ndio ilikuwa turufu yao kubwa kuimaliza CCM na ikichangiwa na watanzania walishaichoka

    ReplyDelete
  5. UMESEMA KWELI JANUARY.

    ReplyDelete
  6. Mwongo. Waliiba kura. Zanzibar inamshinda

    ReplyDelete

Top Post Ad