AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Jeshi la Polisi kitengo cha majini limekamata tani zipatazo 20 za mafuta ya Dizeli yaliyokuwa katika Jahazi lililokuwa kando ya bandari ya Dar es Salaam likijiandaa kwa safari ya kwenda Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo hicho cha polisi cha wanamaji Bwana Mboje John Kanga amesema watu watano wanashikiliwa kuhusiana na tukio hilo na uchunguzi zaidi unaendelea.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mmmmh,watu wana kiburi jamani!
ReplyDeleteTujifunze kufuata sheria,longolongo sasa basi.