Kwa Mara ya Kwanza Kocha Jose Mourinho Aongelea Kuhusu Kurudi Uwanjani Kufundisha Baada ya Kufukuzwa Chelsea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kwa kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho, February 7 karudi kwenye headlines na kauli mpya baada ya kutokuwa tayari kuzungumzia soka, Jose Mourinho ameamua kuzungumzia soka ikiwa ni wiki sita zimepita toka afukuzwe kazi na Chelsea.

Jose Mourinho ambaye amekuwa akihusishwa kujiunga na Man United ili arithi nafasi ya Louis van Gaal alikuwa hayupo tayari kuzungumzia soka, ila kwa sasa amekubali kulizungumzia hilo na kukiri kuwa yupo karibu kurudi kazini hivi karibuni, licha ya kuwa wengine huwa wanamtafsiri kama jeuri, lakini yeye anasema ni mtu wa kawaida na anajifunza popote.

“Siku zote nimekuwa nikijifunza hata katika sehemu ambayo najihisi ni mtaalam, siku zote mimi sio mkamilifu na nimekuwa nikijifunza kila siku, wakati mwingine katika kazi na hata maisha binafsi, narudi karibuni katika soka sehemu ambayo nahisi ni maisha yangu ya asili”  Jose Mourinho
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad