Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda kwa sababu (1) Huwa mnajamba hovyo hovyo iwe wakati wa kufanya tendo na hata kama sio wakati wa tendo huwa mnajamba, kwa hilo kwa kweli mnaongoza. (2) Sio wasafi kabisaaaa, mnaongoza kwa uchafu hasa maeneo yenu ya siri. Hamjui kujisafisha vizuri mpaka mkaweza kuondoa uchafu wote. Uwe uchafu wa haja Kubwa ama Ndogo huwa ni ngumu sana kwenu kujisafisha vizuri na kuondoa uchafu wote, na ndio maana Wanawake wenye makalio na hips kubwa wanaongoza kwa kutoa harufu mbaya kutoka maeneo yao ya siri. Kwa kweli yananuka sana.

    ReplyDelete
  2. Jaman jaman jamani nimecheka hahahahahahahaha uwiiiiiiii....We anony 6.42...daaah umeandika kwa hisia sanaaa eti wanajamba hovyo na wananuka hahahah jamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. UUUWIIIII.........nmecheka saaana aisee

      Delete
  3. Nionavyo mimi ni kuwa mademu wenye manundu makubwa ya nyuma hujiona wao ndio kiboko yao kuyatingishatishinga wakati mwingine kwa makusudi pindi wapitapo sehemu waliopo wanaume pia pindi wanapokuwa ndani ya mahusiano huwa wana ile ah kwa mwili huu nilionao ata ukiniacha nitampata mwingine na kusahau kuwa siku hazisimami bali zinakwenda na mwishowe huwa demu ameashaanza kuchoka havutii tena na foleni ya madume waliompanda ni kubwa na ya kutisha sasa dume gani lililo janja litaingia hapo yaani ni NO WAY!!

    ReplyDelete
  4. Wee kumani....ulotoa coment shika adabu y2k mshenzi mkubwa tunamahipsi.na shepu za maana na tupo kwenye ndoa tangy enzi za nyerere mchafu dadiyo na shangaziyo anayetumia maji ya kupima na makaratasi fyuuu rudia tena uone

    ReplyDelete
  5. asante sana 9;16 uyo alotoa coment juu hajielewi uchafu ni hulka ya mtu si mwembamba si mnene wala hauchagui rangi nyoko we km uliburuza wachafu wakakujambia na kukunukia ni ww watu tumeolewa tena tuna raha zetu na tambueni ndoa kila mtu ameandikiwa na mungu na hakuna kigezo kilotolewa tabaka flani wanaolewa wengi achene usenge kabla ya kucoment someni dini na maelezo ya ndoa

    ReplyDelete
  6. Yaani ww ulokomment mwanzo umenipa nguvu kubwa ya kufanya diet ubarikiwe ingekuwa karibu ningekununulia MOET km unaijua

    ReplyDelete
  7. Replies
    1. mhhhhh jaman mi natafuta hao hao wanene coz hawana shida kama vimbaumbau plz ncall kwaa 0767687700

      Delete
    2. mbona sikupati namba ni yako hiyo?

      Delete

Top Post Ad