Mapenzi Ndio Basi Tena...Wema Sepetu Afuta Picha zote za Aliyekuwa Mpenzi wake Idris Sultan Kwenye Page yake ya Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Looks like there is trouble in paradise.. Katika hatua ambayo wengi hawakuitarajia kama ingetokea mapema hivi, Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kuuvunja uhusiano wao.

Tetesi za kuwa uhusiano wao upo kwenye mawe zilianza baada ya ujauzito ambao Wema Sepetu alidaiwa kuwa nao kutoka.

Haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.

Wema aliwahi kueleza wazi jinsi ambavyo Idris alikuwa akimpenda Idris na namna alivyomfanya awe mtu mwema.

IDRIS SULTAN: NILIKUWA NAWAPENDA WEMA NA SAMANTHA KWA WAKATI MMOJA, ‘I WAS A VERY BAD GUY

Hata hivyo Idris anaonekana bado moyo wake haujamkatia tamaa Miss Tanzania huyo wa zamani. Jumapili alipost picha akiwa naya na kuandika: Only you know how much i love you, the rest doesn’t matter. #BeingAMan.”

Wengi walikuwa wameanza kuvutiwa na uhusiano wao na waliamini kuwa wawili hao wangekuja kuwa miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi. Walikuwa wamepanga pia kuja na reality TV show yao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahhaa bibi bomba angekuwa kweli na mimba tungehama nchi.

    ReplyDelete
  2. Wema wewe muislam msamehe mwenzio, binaadam hatuna ukamilifu. Mahusiano yanadumishwa na upendo na kuvumiliana.

    ReplyDelete
  3. Jamani hizo ni kiki tu! Wanatafuta attention kwa watu. Dawa yao muwe mnawapuuzia!

    ReplyDelete
  4. hata mama yako hakuwa na mimba yako. mbona watz hawakuhama nchi. uliokotwa uchochoroni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mama yake hakuwa na mimba. Lakini yule aliemtupa alikuwa na kizazi na mimba juu. Bb bomba no kizazi no mimba msururu wa wanaume fake star hahahahaha. Amkome mtoto wa Kim. Licha ya uchangu lakini anazaa. Bb bomba ataishia kunoa majando ya mibaba hahahaha. Haya chambeni.

      Delete
  5. HATA BI MASUMBUKO KAMPACHIKA MTOTO DOMO, NA HATUKUHAMA NCHI.

    ReplyDelete
  6. sasa yule mtoto mwenye sura kama kinyako ndo mnaringia na kumtusi Wema? hongera Katunzi kwa kukaa kimya.

    ReplyDelete
  7. bibi masumboko anajaribu kumedit mtoto ili aonekane kama chibu wapiiiiiii. katunzi mtupu bado tunataka kuona DNA.

    ReplyDelete
  8. acha unafiki Anony 12.38 PM. kama Wema hakuwa na mimba ulimvua nguo ukamuona au wewe ndo doct wake ulompima? mbona kizee chenu kimembambikia Dai mtoto hamsemi mmebakia kumsifia na picha za kumuedi ili aonekane mzuri. kumbe...

    ReplyDelete
  9. hata ya Kajala imetoka mbona hamkuhama mji. au na yeye aliweka matambara. acheni ungese.

    ReplyDelete
  10. mimba ni km rizki ukiwekea malengo ya kumtambia mtu anapuluzia uhai ni GOD SO ukihitaji kuzaa epuka nia ya utazaa sababu ya kumonyesha nani unaweza ukawa staa na kuzaa tahira au mtoto mwenye mapungufu so jambo la kuleta bad filing ila just pray usishabikie sababu ustaa na pesa unasababisha usizae sbb unakuwa bize na inshu flani sema INSHA ALLAH Mungu akujalue sbb kuzaa sio wajib ila kuabudu ni lazima sbb adamu amezaa watu wote hawa mtu 1anatake headline za kijinga penzi ni siri na mimba huingia siku 1 tu

    ReplyDelete

Top Post Ad