AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.
Wewe Una Maoni Gani!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyu mbunge hatari akapimwe fasta
ReplyDelete10.2 hatari
ReplyDeleteajihararishie na familia yake kama inalipa.
ReplyDeleteKwa sababu yeye anatumia
ReplyDeleteApimwe akili
ReplyDeletenamfahamu vizuri mbunge msukuma.huyu bwana ni tajiri wa madini,tajiri mkubwa na ameifadhili na kuisaidia sana ccm kununua wapiga kura kanda ya ziwa.anamiliki pia mashamba ya bangi maeneo kadhaa na HAKAMATWI NA POLISI.yaani ana kinga maalum ya ccm.ni mvuta bangi mzuri sana.siku zote mwili wake unanuka bangi.akisha vuta bangi lake msukuma hutoa jicho jekundu unaweza kumkimbia anatisha,anaanza kuweweseka na kwa nyakati ikimwelemea bangi humujia upenyo huu kwenda haja kubwa ndani ya suruali yake.msukuma ni fedheha,lakini ni shujaa wa ccm.
ReplyDeleteNafikiri anatumia unga au anauuza
ReplyDeleteSi huyu aliye mkashifu Lowassa yeye makongoro kwenye uchaguzi wa rais
Enter your comment...elimu ziro
ReplyDeletehuyu mbunge kaongea point. Kweili kabisa serikali isikie hili na ilichukulie hatua mara moja. Tuanze kilimo. Hata mim ninashamba langu nataka kuanzisha ilo zao.
ReplyDelete