Nisha Aongeza Utata Juu ya Mahusiano na Baraka da Prince...Adai Huwa Wanalala Pamoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nisha amesema kuwa, Baraka ni msanii ambaye ni mchapakazi na anaona mbali, tabia ambayo ni ya aina ya mwanaume ambaye anampenda, akidai kuwa ni marafiki wa karibu ambao hata kulala pamoja kwao ni kitu cha kawaida sana.

Wiki iliyopita, Baraka naye kwa upande wake alikana kuwepo kwa mahusiano ya kimapenzi na Nisha, akidai kuwa kusahau vitu vyake kwa mwigizaji huyo ikiwepo simu, ni vitu ambavyo hutokea na haimaanishi kuwa wana mahusiano.

Utafiti unaonesha kuwa, kuna hisia nzito na ukaribu mkubwa kati ya wasanii hawa wawili, kukiwa na dalili zote za mahusiano mazito ya kimapenzi, licha ya changamoto za hapa na pale, huku wasanii hawa wakikwepa kuweka wazi kinachoendelea kati yao na kuwapa mashabiki sintofahamu kwa makusudi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu nisha nisha nae hatulii mtu mwenyewe hata haonekani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha umbea nisha mbona mrembo sana jamani, sasa aonekani kivipi!!?

      Delete
  2. Hayo mi naona ni skendo tu

    ReplyDelete

Top Post Ad