AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya Kimya Kingi Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ameamua Kutoa Picha Kwenye Mtandao wa Facebook Akiwa na Dr Slaa na Kuandika "Tupo Tunasoma Magazeti"
Baadhi ya Komenti Toka kwa Wadau wao;
Kapalatu Salim
Mungu hamtupi mtu mwenye dhamila ya kweli hawezi shindwa hawezi kata tamaa. Maneno hayo aliniambi ZZK miaka mitatu iliyopita. So simama katika kupigania haki wazalendo tupo nyuma yako. Mungu atawalinda sana
Aaron Mwakajonga
huyo nae ni jipu
Telesphory Masalu
Hongereni sana kwa misimamo yenu ya dhati iliyokataa kuyumbishwa na fedha za Mafisadi.Dr Slaa will remain my role model forever.
Amani Magingi
Bado nashindwa kukuellewa mamaa mushumbusi... hakika sikuelwwiii hivi kweli ulimtupia virago dr???? Kwelii kabisaaaa??? Yaaan bado sielewiii dr.was my role modal... lkn kwa yaliyotokea.... daaah sijui lini tz itapata ukombozi
Meshack Samweli
Mungu atawalipa hapahpa duniani kama mliwasalit watanzania mie sjui ipo sku ukwel utajulikana
Bryton Myrium Chadema
mama ni kweli ulitumia nyumba ya dr slaa kumuombea mkopo jamaa mwingine sory kama nimekosea kuulliza
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huyu ni kiongozi wa mfano wa kuigwa, nyie mlitaka aibu hii mliyoipata kwa fedha za wizi na ufisadi imkute?bado mtaona kama alivyouliza Lowasa na wengine ni ASSETS au LIABILITIES. Karibu mtaona manaeno ya Dr Slaa ni kweli au uongo. Angalia anavyoanza kuigawa Ukawa kwa network, kama alivyokuwa CCM. Jamani mfupa uliomshinda FISI.......
ReplyDeletewewe sema una chuki zako na lowassa, lowassa c alisema kama yeye ni fisadi ashitakiwe mbona hawakumshitaki mpaka leo na wakati ana haki ya kushtakiwa.
ReplyDeletewewe sema una chuki zako na lowassa, lowassa c alisema kama yeye ni fisadi ashitakiwe mbona hawakumshitaki mpaka leo na wakati ana haki ya kushtakiwa.
ReplyDeleteHuna unalolijua,au ndio upinzani usio na maadili?chuki kwa Lowasa?za nini?Mbona JK kasemwa ni fisadi hamjamshitaki?Ni kweli JK hakuwa na mema kwa watanzania?ukawa hivyo walivyo hawafai kutuongoza hata kidogo,wana tamaa ya madaraka na ndio maana wakamsafisha dhambi Lowasa,ni haohao walimwona alivyokuwa ccm alikuwa mbaya kaja ukawa kasafishwa dhambi?Watanzania tuwe macho,na kama ni kuichoka ccm ni bora kupiga debe kwa Kabwe kuliko ukawa.
Deletelowasa ni fisadi tena fisadi papa Mungu tu anajua
Deleteukawa juuuuuuu kajinyonge,
ReplyDeleteJK + LOWASA WANAJUANA SANA UFISADI WAO NYIE JITIENI HASHUO WENZENU LAO MOJA WAMEIBA PAMOJA WAMEKULA PAMOJA
ReplyDelete