Mwanamuziki Diamond Platnumz Aamua Kuja Kivingine Sasa Aivamia Fani ya Kurap....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa muziki Diamond Platnumz amejipanga kuachia wimbo mpya wa kurap uitwao Simba.

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Meneja wa msanii huyo, Babu Tale alisema wimbo huo utakuwa sio wa biashara bali ni zawadi kwa mashabiki.

“Kama Hip Hop ni biashara Diamond amefanya wimbo wa kurap lakini hatujauchulia kama ile ni biashara, wimbo umeshaisha na unaitwa Simba,” alisema Babu Tale.

Diamond kwa sasa anafanya poa na video ya wimbo ‘Make Me Sing’ akiwa na AKA wa Afrika Kusini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anavo haha na jina la simba utafikiri kabatizwa nalo.

    ReplyDelete
  2. Simba wako wengi asijishaue bure, yeye ni Nyau labda.

    ReplyDelete
  3. usimba woote umekubali kubambikiwa mtoto? lol

    ReplyDelete
  4. We unayedai kabambikiwa mtt nataka kujua we una uhakika na baba yako? Mu ulize mama yako vizuri mmh mbona litakushuka!

    ReplyDelete
  5. Kabambikiwa na cheti cha DNA kimefojiwa, nasikia hata ww Anony 8.21 AM. uliokotwa chooni hata baba yako humjui.

    ReplyDelete
  6. Bora kubambikiwa mtoto kuliko kuvaa matambara na kujiita una mimba. Ukinuna inakuhusu...

    ReplyDelete
  7. Wewe unadaiwa Niliokotwa chooni Anony3:25 si afadhali yangu mimi ntakua na baba sasa wewe ulie patikana kwa njia ya mkunyeto! Pole sana hizo hasira zako za kutokua na baba usimmalizie Dai. Kajitawazie majani kuwasha upunguze jaziba mfyuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Wewe unadaiwa Niliokotwa chooni Anony3:25 si afadhali yangu mimi ntakua na baba sasa wewe ulie patikana kwa njia ya mkunyeto! Pole sana hizo hasira zako za kutokua na baba usimmalizie Dai. Kajitawazie majani kuwasha upunguze jaziba mfyuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad