Nay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo Movie Mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo:

Nay aliandika mshairi haya;

“Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako.
BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba Kama Shilole Snura.
 Ray Kigo kawa Mkongo Mpaka Leo anaishi kwao, hela za kuuza Movie zote ananunua Mkorogo😎.
Kuna Nivar super Marioo ana Gari la Milioni Kumi ajawai ata miliki Getto, anaishi kwa Mademu wakiachana Gari ndio Geto.
Kuna Wasanii Mapunga walio ponzwa na tamaa… #ShikaAdabuYako...
Haitoki hii nimeirecord tu yakusiliza na wanangu maskaniiiii....maana mtanichukia kwa niliyozungumza umuuu..

Kajala akafunguka;

’Nyie mnacheka mnaona sifa huyo anatukana anafanya nini… wakati sisi tunauwezo wa Bongo Movie wote kumshtaki hawezi kututukana hivyo yeye ni nani? Mnakaa mnadhalilishwa mnafurahi,’’ Kajala.

Nay akasema tena;

‘’Nimesikia kuwa Bongo Movie wana mpango wa kunipeleka mahakamani nimeongea na wakili wangu kaniambia tutashinda kesi…halafu Kajala namuheshimu sana kama mama yangu…Nimemsikia alichosema nasubiria wanipeleke mahakamani…,’’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata Dai apelekwe mahakamani kwa kuwatukana maa x wake.

    ReplyDelete
  2. NEY NA DIAMOND, mziki wenu mzuri kasoro maneno yenu ya dharau. LABDA KWA KUWA MIDOMO YENU MIKUBWA.

    ReplyDelete
  3. Stop bitching Nay wa Mitego

    ReplyDelete
  4. HIVI MATUSI YA NINI KUWATUKANA WENZIO? MASHAIRI GANI HAYA YA MATUSI JAMANI?
    SIJAPENDA KABISA. MBAYA!!!!





    ReplyDelete
  5. dai anahusika nini hapa??????????????

    ReplyDelete
  6. Mtoeni Dai kwenye midomo yenu wivu tu huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono

    ReplyDelete

Top Post Ad