Idris Amkingia Kifua Wema Sepetu, ni Baada ya Kuambiwa Anamharibu..Otoa Onyo Kali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ukitaka kukosana na Idris Sultan, mtukane kipenzi chake, Wema Sepetu.

Mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 aligeuka mbogo baada ya shabiki mmoja kudai kuwa Wema anampoteza.

Soma mwenyewe:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni muhimu kumlinda wa kwake

    ReplyDelete
  2. Wewe Idris nadhani huna akili au utoto unakusumbua kwasababu huyo Wema kawahinda wengi na wewe pia utakuwa mpita njia nakupa just 2 months more/

    ReplyDelete
    Replies
    1. mimi sio shabiki ila nakushangaa wewe unayesema mwenzio ameshindwa wakati wewe hujielewi, nani aliyekamilika bwana. ebu acha kumjudge mwenzio na kujifanya Mungu. anayepaswa kutuhukumu ni Mungu peke yake.. kupenda hakuna akili ya utoto. wamekubaliana na mapungufu yao. kwani aliyekwambia Idriss yupo perfect nani?

      Delete
  3. DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.

    ReplyDelete
  4. Hahahahahahahahhaha......kweli hii balaaaaa.eeee mungu niepushie nisijepata mdogo kama huyu Idris maana ntamzaba makofi tu. Mali mungu amekupa ila kakukomesha kukunyima akili za kujitambua. Naomba mungu niwe hai nione utafika wapi na huyo bibi bomba aloshindikana na watu wazima na hela zao. Kuna vitu vingine hua mnajitakia sana na mwsho wa siku ndugu zako watasema wema kakuroga kumbe ni mgeni kweni kwenye sector bb wa watu anakurubuni tu.....Pole sana mdogo wangu. Uliza Nuhu mziwanda yuko wapi sasa hivi.......hayo na mafupa waloyashindwa mafisi mjini hapa.......

    ReplyDelete
  5. Muacheni Ata km Ana udogo WA kunyonya ziwa muacheni atakua kila mtu Na life yake km yupo over 18 udogo ameuacha muda mrefu

    ReplyDelete
  6. jameni mimi siko dar lakini najua mengi kuliko hata nyinyi mliokuwa mjini,wema ameachana na idris yuko na pedeshee mmoja hivi anaitwa isabela maana jina lake gumu ngoja nimuite isabela,na juzi kapiga picha na kofia ya isabelle

    ReplyDelete
  7. Huyo mtoto msenge sana anajionaaa ana brain kisa kuuza sura pale Big Brother. Mtu mwenyewe sioi kwamba ana Talent yoyote zaidi ya hiyo bahati aliyoipata.

    ReplyDelete
  8. watanzania mbona mna uchngu na maisha ya wengine kwani hao wahusika hawana ndugu zao mpaka wawasikilize nyinyi mnaoandika hawawajui wala kuwaona na wala hamuwasaidii kama huyu ngozinathaniel kwani yeye ni nani??

    ReplyDelete
  9. Pole sana kaka Diamond kwa uliyoyapitia, kweli ukubwa wa pua si wingi wa makamasi........dah aiseee!!!......Heri yako Diamond kwa kujisetiri kwa Zari, kwa kweli leo hii tungekuwa tunazungumza mengine.

    ReplyDelete
  10. Unafikiria kuwa na mihela sijui na kushinda Big Brother ndio kila kitu.............hahahahaha......sioooooooooooooooooooo mamaye..........

    ReplyDelete

Top Post Ad